Recent content by Mzee_londo

  1. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi Mh. Jenista Mhagama amepwaya

    Hongera Mama, Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuupiga mwingi sisi watumishi wa Umma tupo nyuma yako katika kupeleka gurudumu la nchi yetu mbele. Nimeona nishushe uzi huu kukupa angalizo Mama juu ya uteuzi wako wa Waziri wa Utumishi mwanzoni kabisa nilikuwa na walakini ingawa...
  2. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Harmonize na Wimbo wake Mtaje

    Yule bibi kizee Kaja anatoa kwa mpalange kama hana akili nzuri ndomana dogo alidata
  3. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Wizi salender bridge bado upo

    Leo asubuhi nimeshuhudia jamaa anatoka vichakani kwenye mikoko anajifanya anavuka anakwapua simu na kurudi kwenye mikoko akijifanya kama anakojoa Simu ilikuwa mbali sikuweza kumpiga picha. Ila inasikitisha eneo nyeti Kama lile karibu kabisa na Kituo cha polisi lakini usalama ni haba Kama jeshi...
  4. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania IFM hawajapeleka maijina NACTE

    MATI UYOLE NAO WANAFUNZI WANALALAMIKA HAKUNA MATOKEO YALOENDA NECTA MPAKA SASA HIZI NI HUJUMA
  5. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Airtel to airtel kutuma pesa sio bure tena

    Hivi hizi kampuni za simu zitatuibia mpaka lini, huduma zinabadilishwa mteja hapewi taarifa, huu si wizi huu.
  6. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

    Burian Prof. Tolly umeondoka umeacha chuo chako kikifanya mambo ya ajabu na kuangusha elimu yetu
  7. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Endeleeni kulindana takukuru taarifa mbona wanazo hii orex yenu ndo itawaweka bayana kweupeee Mh Rais amefungua vyuo, hiyo covid ipo OUT tu? Msitetereshe elimu yetu kwa tamaa zenu
  8. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Full nondo wakati marks zinauzwa “A” 250,000 wanafunzi wa MBA wanazinunua tu na hii OREX bila kuwepo external examiners kutoa vyuo vyengine mtapiga sana hela
  9. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Jifunze ustaarabu kwanza kabla ya kutaka kupata ufahamu “aljununu fununu”
  10. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Hii ya open hakuna karatasi ni maneno matupu
  11. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Alokwambia tupo zama za hatari ni Nani? Nyie ndo wapotoshaji Wakubwa hivi kauli za viongozi wetu kwamba tumeishinda corona unaona ni upumbavu? Alafu bwana mdogo jifunze kuwasilisha mada bila matusi, tetea Hoja zako kistaarabu
  12. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Kama issue ni COVID cha msingi ni kuchukua tahadhari tu, mitihani ifanyike katika halls kubwa wanafunzi wavae barakoa wakae mita moja wa sanitize kabla na baada Tusitake kuharibu elimu yetu kisa corona Huo mfumo wao wa kufundishia tu umewashinda juzi tu hapa wamekaa karibu mwezi wanafunzi...
  13. Mzee_londo

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Ingekuwa ni chuo cha private TCU wangekuwa wameshafika Zamani sana, hatukatai mapinduzi katika elimu lakin yawe na uhalisia chuo kikuu huria kimekuwa kimbilio la wengi hasa wanachi wenye kipato cha chini Leo hii unamwambia mtu yupo ludewa mambo ya kufanya mtihani online sio tu internet pengine...
Back
Top Bottom