Airtel to airtel kutuma pesa sio bure tena

Airtel to airtel kutuma pesa sio bure tena

Mzee_londo

Member
Joined
Dec 5, 2018
Posts
46
Reaction score
99
Hivi hizi kampuni za simu zitatuibia mpaka lini, huduma zinabadilishwa mteja hapewi taarifa, huu si wizi huu.
 
Mimi mwenyewe leo nimemtumia mtu pesa wamenikata hela.
 
Hakuna vya bule,hata ukituma kwa basi konda lazima akuombe pesa.
 
Vya bure sio poa, mbona wenzenu huku tigo na voda tunakatwa toka 1994.
Hivi hizi kampuni za simu zitatuibia mpaka lini, huduma zinabadilishwa mteja hapewi taarifa huu si wizi huu
 
Bure ilikuwa ni promotion ya muda. Haiwezi kuwa ya kudumu. Faida waipate wapi?
 
Nadhani walikua na promosheni ila hawakusema ingekua ya kipindi gani.

Walijificha kwenye muda. Promosheni inawezekana ilikua ni ta siku 3 ila hawakusema.
 
Kwahiyo ukajua itakuwa bure milele.. Punguza njaa mkuu!
 
Makampuni ya simu yakipigwa fine kila mtu anashangilia...hizo promotion zina kuwa za muda tu.
 
Back
Top Bottom