Recent content by Mzee wa upeo

  1. M

    Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

    Mbona chadema wana weweseka, waacheni nao wafanye yao!
  2. M

    Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    chuo hicho kinawanafunzi zaidi ya ishirini elfu, kinajumuisha wanachama wa vyama tofauti, kwafikira yako wote unadhani ni CHADEMA? Fikiria wanaume wote wangependa mamako, babako angepata wapi mke wa kuoa? Hujasoma philosophy? Huwezi kureason kwanini unapenda kiongozi fulani, na kwanini wengine...
  3. M

    Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Watanzania ni wavivu wa kufikiri sana, wakisikia wanafunzi wa vyuo vikuu dodoma wao wanajua UDOM, Dodoma kunavyuo vikuu vingi sana, ila sema wanafunzi wa vyuo vingine hawawezi kujitambulisha kwa majina ya vyuo vyao, huwezi kusikia anasema nasoma MIPANGO, HOMBOLO, ST. JONH, AU MILEMBE wate...
  4. M

    Mnaomuunga mkono Zitto naomba jibu la swali langu!

    Kweli ubongo wa mtu mweusi ni mgumu sana kuelewa na kufanya kazi, Zitto chadema tumemfukuza kwa kumnyang'anya uanachama, sasa kwanini inatuuma tukiona anakwenda cha kingine? Naomba tukumbuke haya: marando alimfukuza Mrema NCCR akaenda zake TLP, Marando akahama NCCR Akaja CHADEMA, LEMA katokea...
  5. M

    Dr. Slaa ahojiwa kwa masaa sita (6) Central Police...

    Hii kesi tatizo ni mgogoro wa mlinzi na mshumbuzi ndo unapelekea kuawa kwa dr. Slaa au kuna nini hapo kati. Unatakiwa kufikiria "wake wa wakubwa kina vitu huwa hawavipati kutoka kwa bwana kwasababu ya u busy, ndo maana mtumishi wa ndani hufidia hizo gepu, ila ngoja tuendelee kucheki movie!
  6. M

    Vijana wa kitanzania: Tunachokifanya hakiendani na hadhi yetu na hakiwezi kutusaidia

    Mtoa mada hongera na pole sana, kwa ufupi vijana wengi wamekua wavivu wakufikiri na kuchukua maamuzi, vijana wanapenda shortcut badala ya kutoa jasho ili kufika malengo, wengi wanatumia stori za vijiweni badala ya kutafuta ukweli, ila kwasababu wanasimu kubwa zenye uwezo wa kuingia jf na...
  7. M

    Godbless Lema Afanya Makubwa Arusha, Kugombea Ubunge tena!

    Siasa na wanasiasa wahuni, kila mtu sahivi ni mwanasiasa, mwanzo tulijivunia kila familia ilikua na msanii sasa kila familia ina mwanasiasa! Asante tanzania
  8. M

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    tofautisha mtu akifa na akiwa hai, mkumbuke kunaushawishi alio nao unaweza kuleta madhara kwa chama na si lazima kumuweka kua kiongozi anabaki km mwanachama wa kawaida. Mara nyingi watu tunatoa kashifa bila kuwa na vipimo navyo, matusi yamekua mengi mpaka inatia hofu, ninachosema ni kukaa meza...
  9. M

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wasipokuwa makini wataendelea kukalia kiti cha upinzani maisha, wanatakiwa kuwa makini katika maamuzi juu ya watu wanaokifanya chama kusikika kwa watu, wawe na utulivu na kukaa meza moja na watu wanaowaona wanaenda kinyume na matakwa yao, wasikurupuke...
  10. M

    Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

    Kama mnataka hela nendeni machimboni, wanawake kueni wajasiriamali sio kutegemea uchi ndo ukulishe, siku umeamka haupo? Utakula mavi yako, madem wa tabia ya kuomba pesa mimi nakula na kusepa!
  11. M

    Waliosoma Mazengo Technical and High School

    Mgohamwende bhana akionekana jua kunaissue muhimu sana
  12. M

    UHANITHI baada ya Kitovu cha Mtoto kukatika na kudondokea Sehemu zake za Siri

    Ukweli ndo huo, hizo ni mila, kunavitu viwili 1) science 2) pseudoscience. Hiyo ya pili kuiprove ni ngumu kozi ni ya kimazingara ya kimila. Suala hilo lipo na dawa yake ni ndogo sana, ila ni ngumu sana. Km unatatizo hilo na mama yake yu hai. Ni kuchomeka uume wa mtoto kwenye uke wa mama yake...
  13. M

    Utofauti wa ada vyuo vya ualimu na mishahara kulingana

    Serikali imetangaza kuongezeka kwa ada kwa vyuo vya ualimu, walimu wacheti watalipa tsh 300000 badala ya 200000 ya zamani, na 400000 stashahada kwa walimu wa masomo ya sanaa(art) na 600000 kwa stashahada walimu wa masomo ya sayansi, nachouliza hawa wote walimu wakiajiliwa mishahara inalingana...
Back
Top Bottom