huyu ndio yule wa 'kikuku cha mama rodaaa..' au..? anyway R.I.P bro..
na noorah ambaye pia mgonjwa
Kifua ni hatari sana kwa wasanii we2
wakali wa chemba wanaisha nafkiri kabaki darkmaster
Sidhani kama ulikuwa na haja ya kuandika ulichokiandika kwa sababu nilichokifanya ni kukumbushana kwani hakuna mkamilifu hata mimi mwenyewe nina mabaya yangu nikiwa na maana sio msafi na ndio tukapewa nafasi ya kutubu......kama wewe umekereka na kukumbushana mambo utakuwa sio binadamu wa kawaida.....Unaongea sana as if wewe ni malaika unatenda mema kila wakati... wakati wa msiba watu wenye busara hutafakali kimyakimya
Hivi ndo yule kijana aliyeimba " kikuku cha mama roda kimekula mpunga wangu......." au sio?