Recent content by Mzee wa SUP

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    salaam mkuu, nina swali kidogo linalohusiani na mada hapo juu,miaka kama 6 iliyopita nilipata opersheni ya appendex...kwa maana hiyo mpaka sasa bado ninaalama ya kisu lakini kiafya nipo njema,nina uwezo mkubwa wakufanya shughuri nyingi zinakutumia nguvu. Mwakani namaliza varsity,nina mpango wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kukosa kujiamini

    Kwasasa confidence imepanda kwa kiasi fulani!!!asanteni sana ndugu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kukosa kujiamini

    Kaka/Dada bangi zipo nyingi sana,nasikia kuna chaArusha,Shinyanga n.k,,sasa nivute ya wapi ???
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kukosa kujiamini

    shusha nondo basi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kukosa kujiamini

    thanks a lot maadam
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kukosa kujiamini

    unajua kuandika lakini hujui kusoma!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kukosa kujiamini

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,nipo chuo kikuu X mwaka wa pili. Tatizo langu kubwa ni ukosefu wa kutojiamini mara kwa mara,muda mwingine hata kama nikiwa na watu ambao nimewazidi hadhi i.e elimu,pesa n.k lakini bado sijiamini kabisa!nimejaribu kusoma article mbalimbali za saikolozi{how...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nitoa bikira kwa dakika moja ya msichana wa chuo . Ni bikira original?

    kabla ya kuanza tendo,ungeileta hapa tuikague...sasa hpo post motam haiwez kusoma tena!
  9. M

    JamiiForums Tanzania cr7 azawadia kitabu kitakatifu(qur-ani)

    serukamba mkubwa,sas ndo umeandika nini hapo!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia 85 ya wanaume wa kitanzania waishio ulaya wameolewa

    taratibu mkuu..humu jf wanaposema mbeba boksi uwa wanamaanisha wabongo/waafrika wote wanaofanya kazi au kutafuta maisha ughaibuni.kwahyo hakuwa na maana mbaya kwa kutumia neno "wabeba box"
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Ahsante kwa taarifa mkuu!!!kozi zao sijazipenda,naoana kuna masomo mengi tu ya kupotezeana muda na kulazimishana SUP!Sasa hiyo PROGRAMMING ya nn sasa kwa muhasibu??????Lazima migawanyiko za fani mbalimbali ueshimiwe bwana.Mtu mmoja huyohuyo asome Programming,account n.k!!!!!unaujua mziki wa C...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    acha kumtusi kaka lusinde wewe!!!!!unajua maana ya jembe ??????
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unafikiri nini hatima ya lulu?

    ni feizafoxy.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unachagua kuwa nani hapa Tanzania?

    :-)=#:'(
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pro-LOWASSA's where are you?

    Mkuu Pasco kutokana na maneno yako,inaonesha ukweli uliufahamu siku nyingi sana kama CDM ndio chama cha wazalendo.Swali linakuja,kwanini ulikubali kununuliwa na El Kwa bei chee kabisa badala ya kutumia taaluma yako kuelimisha watu uchafu wa ccm?? Au Pasco unapiga chapuo kwa cdm ili uwe...
Back
Top Bottom