Unafikiri nini hatima ya lulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafikiri nini hatima ya lulu?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Inno laka, Apr 10, 2012.

 1. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,592
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  We binafsi kama m2 ambaye una upeo mkubwa wa kufikir unafikir nn itakuwa hatima ya lulu.
   
 2. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  lulu ni muuaji alipotoka chumbani kwa kanumba alikimbia mm uamuzi wangu kifungo cha maisha amemuua mtu muhimu katika nchi yetu
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu ino samahani,lulu ni nani?
   
 4. M

  Mzee wa SUP Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni feizafoxy.
   
 5. b

  b2k Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kama kawaida ya binadamu pale tupatapo matatizo makubwa sana huwa tunamrudia mungu basi lulu akitoka usishangae akajiunga na akina Rose muhando au christina shusho au bonnie mwaitege akituambia kuwa "anaelea anakwenda mbinguni"au akawa mama kanisa. naliona hili.
   
Loading...