Pro-LOWASSA's where are you?

Wapi Pasco??wapi yule aliyetueleza kwamba Mzee Lowasa yupo German mzima wa afya!!
CDM kweli kiboko yao.Naamini mpaka 2014,huyu Mzee kama akigombea urais atakuwa na uwakika wa kula za Monduli tu.
Mzee wa SUP, mimi nipo na pia nakiri kuwa wengi wetu mnanijua kama pro EL, ni ukweli kabisa, ila ule upro EL wangu was only ment for great thinkers.Only those who can read in between the lines ndio walinielewa!.

Wakati wa Arumeru, niliside na Sioi kwa vile niliamini Watanzania ni wale wale juzi jana na leo, hivyo baada tuu ya kupitisha, nikasema kwa uhakika, uchaguzi umeisha kilichobakia ni kukamilisha tuu taratibu!.

Kilichotokea sote tumekiona, kumbe Watanzania wa sasa, sio wale wale wa juzi na jana, hawa wa leo wameamka, sio watu wa kupelekwa pelekwa tuu kwa t-shirt, kofia na shibe ya siku moja!. Watanzania wa sasa sio tena bendera fuata upepo!. Hivyo baada ya uchaguzi ule nilikuja na kukubali matokeo na nikasema bayana kumbe mabadiliko yanawezekana hata bila CCM kumsimamisha EL. The wind of change is sweeping accross Tanzania, hivyo 2015, hata CCM ikimsimamisha the best of the best, down the drain, it will go!.

Wakunielewa wamenielewa, msio elewa endeleeni kuelewa hivyo hivyo mnavyoielewa kwa kadri ya uelewa ambao kila mmoja wetu amejaliwa. Jf ni yetu sote, the great mind, the ordinary and the simple mind alike.

Asante.

Pasco
 
Mkuu Pasco kutokana na maneno yako,inaonesha ukweli uliufahamu siku nyingi sana kama CDM ndio chama cha wazalendo.Swali linakuja,kwanini ulikubali kununuliwa na El Kwa bei chee kabisa badala ya kutumia taaluma yako kuelimisha watu uchafu wa ccm??
Au Pasco unapiga chapuo kwa cdm ili uwe magogoni{mwandishi wa rais}??
 
Mnyisanzu na pasco najua kabisa nyie mwasapoti hela ya lowassa na sio yeye
OTIS
 
Mkuu Pasco kutokana na maneno yako,inaonesha ukweli uliufahamu siku nyingi sana kama CDM ndio chama cha wazalendo.Swali linakuja,kwanini ulikubali kununuliwa na El Kwa bei chee kabisa badala ya kutumia taaluma yako kuelimisha watu uchafu wa ccm??
Au Pasco unapiga chapuo kwa cdm ili uwe magogoni{mwandishi wa rais}??
Kuhusu mimi na Chadema, tafuta posti yangu "chadema humjajipanga"
Sijawahi shika sentano ya EL!
Nitatumia taaluma yangu kuelimisha watu kutambua haki zao.
Sipigi chapuo lolote!.
 
Mzee wa SUP, mimi nipo na pia nakiri kuwa wengi wetu mnanijua kama pro EL, ni ukweli kabisa, ila ule upro EL wangu was only ment for great thinkers.Only those who can read in between the lines ndio walinielewa!.

Wakati wa Arumeru, niliside na Sioi kwa vile niliamini Watanzania ni wale wale juzi jana na leo, hivyo baada tuu ya kupitisha, nikasema kwa uhakika, uchaguzi umeisha kilichobakia ni kukamilisha tuu taratibu!.

Kilichotokea sote tumekiona, kumbe Watanzania wa sasa, sio wale wale wa juzi na jana, hawa wa leo wameamka, sio watu wa kupelekwa pelekwa tuu kwa t-shirt, kofia na shibe ya siku moja!. Watanzania wa sasa sio tena bendera fuata upepo!. Hivyo baada ya uchaguzi ule nilikuja na kukubali matokeo na nikasema bayana kumbe mabadiliko yanawezekana hata bila CCM kumsimamisha EL. The wind of change is sweeping accross Tanzania, hivyo 2015, hata CCM ikimsimamisha the best of the best, down the drain, it will go!.

Wakunielewa wamenielewa, msio elewa endeleeni kuelewa hivyo hivyo mnavyoielewa kwa kadri ya uelewa ambao kila mmoja wetu amejaliwa. Jf ni yetu sote, the great mind, the ordinary and the simple mind alike.

Asante.

Pasco

Ah Pasco ama kweli nimekukubali kwamba ww ni great thinker! Ningetamani uwe mwenyekiti wa GT humu jamvini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom