Recent content by Mzee wa Posho

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Lema kajipeleka Mwenyewe Gerezani kakataa kutoka kwa dhamana sasa anataka atoke! Amechoka kushikwa masaburi yake na ma-cameron ya Gerezani! Hahahahaah ngoja upate joto kwanza Lema ukitoka huko tutajua tu mwendo utabadilika!
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Lema kashikwa Masaburi gerezani anataka kutoka. Mahakama imesema aendelee kushikwa masaburi yake na Wajanja waendelee kum-cameron hadi tarehe 14/nov/2011
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    We mzee laana ya Upadri inakuandama sasa! Hawo watanzania unao waweka NMC unawalisha?
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Lema alikataa kutoka gerezani leo anataka atoke kwa nguvu/kwa lazima! Akome kuleta ujinga wake! Naipongeza mahakama kwa kumusotesha rumande hadi tarehe 14/Nov/2011
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa CHADEMA

    Mmezunguka sana suala la Ukabira/Uchaga ni tatizo Chadema!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chadema msituangushe...mahesabu ya uchaguzi yapo wapi mpaka leo?

    Hivi chadema ilipata kura ngapi uchaguzi mkuu 2010 tuliahidiwa kuwa watatoa kura zote kuonesha walivyo ibiwa kura! Au ilikua longo longo tu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tusiishie Kusema hapana kwenye Ushoga,tuseme hapana hata kwenye raslimali zetu

    Bado umelewa hadi mda huu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa DAR, tumelogwa na CCM? Kulikoni?

    Wakazi wa Ushwahilini dar wanashangaa kila duka la mchaga kuna bendera ya Chadema! Hilo bado lina wapa utata kujua Chadema ni chama cha aina gani! Hawakifahamu vizuri wanaona kama Chadema ni kikundi cha Watokao Kasikazini hasa akina Masawe,Mbowe,Mtei,Mushi,Lema.........ndesamburo!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

    Naloli heshima yako Mkuu! Mchango wako umetulia sana sana! Tunataka Michango kama hii hapa JF! Tungechangia hivi bila unazi wa wa Ki-CDM au Ki-CCM JF ingewasaidia Watanzania! You are the Great Thinker of the Year 2011! Hongera sana!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

    Acha ujinga wa kumsumbua mod sio mjomba wako huyo hadi umwambie afute thread inayo ongea ukweli,Hebu ni kuulize hivi Chadema na Conservative sio marafiki? Kama rafiki yako ni shoga na anatetea ushoga lazima utoe msimamo wako! Chadema msikae kimya kwa hili,je ulizeni urafiki wenu na hao...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

    Mbona hata kwenye Mou ya Mkataba wa Conservative na Chadema wamesaini makubaliano ya kulinda haki za binadamu ikiwemo kutambua ushoga! Chadema hawana usemi juu ya hili lazima wakae kimya!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lema ametengua kitendawili cha polisi

    Upuuuzi mtupu ngonjera tu,pelekeni huko ujinga wenu na Mbunge wenu kichaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

    Ndugu zangu wa JF naomba muamini na muendelee kuamini kuwa Pesa ni mbaya! Jana Mama Nkya wa Tamwa kajikanyaga sana juu ya Ushoga eti lazima mambo kama haya yaongelewe kwenye katiba wananchi waamue wenyewe kama iruhusiwe au la! Yani Mama Nkya anaweka Rekodi kwa wafadhili wake hasa UK kuwa lazima...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TBC na UCCM mpaka kero

    Kwa akili yako ulitaka TBC watoe habari za mbunge mpuuzi wa Arusha!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Safi kabisa mh membe,CDM ni marafiki wa Conservative anakotoka Cameron,msimamo wa Chadema ni upi kwa hili la ushoga kwani mashoga zao Conservative wanatetea ushoga!
Back
Top Bottom