Recent content by Mzee wa P

  1. M

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Nimepata hasira hadi basi,naona kama ni mke wangu kafanyiwa hivo niko tayari kufa nisingeweza vumilia ningemtafuta popote alipo kwa gharama yoyote ile
  2. M

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    this is painfull:taifa linakwenda kugawanyika yetu macho.mambo usiyopenda ufanyiwe usimfanyie mwingine mana lazima iko siku utalipia -
  3. M

    Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    upuuzi mkubwa basi sema tz ni mfumo wa chama kimoja
  4. M

    Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    Nin mashaka na imani yako??????????????????
  5. M

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Mfumuko wa bei ,kushuka thamani ya shillingi (Musumbiji pamoja na vita wako juu Mbaya), n.k. Hizo elimu za kudesa vyuoni ni dangerous
  6. M

    Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

    Fuatilia hotunba ya mbowe kuhusu vuguvugu la mabadiliko (M4C) akiwa marekani,(2012)Mbowe ni kiongozi wa karne kama humpendi mbowe kale malimau
  7. M

    Msimamo wa Lowassa na Magufuli kuhusu katiba mpya ni nini?

    ACT Wazalendo they are not even pritending,wako na mawazo ya ujamaa kitu amabacho kilikufa 30 year ago.nadhani wanahitaji kufanyiwa councelling.
  8. M

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Labda kuwe na burudani ya wasnii siku ya kupiga kura
  9. M

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    itakula kwake Arusha ni chimbuko la mabadiliko,bora afanye huko Geita
  10. M

    Leo nina furaha ya ajabu, nimevuna 14 wa CCM

    Nimefanikiwa kupata wawili leo,Rais Mtarajiwa alikuwa sanya,Ni rahisi sana tafakari hotuba ya MH Lowasa,hawajawhi kubadili maneneo hayo ameongea kutoka rohoni,ni kweli imani huzaa imani,na sisi tumemwamini kwamba elimu,Elimu,Elimu ni mkombozi kwa maskini,Hii nimeipenda sana maana elimu ndio...
  11. M

    Pale mgombea wa Urais anapowasimanga wenzake

    Is likely to become a dictator
  12. M

    Familia yenye nguvu na imani (Lowassa Familly)

    Hao wengine wamepata vyeo kwa matambiko maisha ya watoto wao yanatia huruma,
  13. M

    GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    at least umekubali kuwa ana nguvu hivyo anakubalika,the end justfies the means!!!!!!!!!!
  14. M

    Mgao wa umeme ukiendelea, Simbachawene kutoteuliwa Cabinet ya Magufuli!

    True,watanzania tunaanagamizwa na hela zeku wenyewe,mungu utuhurumie
  15. M

    Kwa wale mnaosema CCM imebeba watu Arusha, nionesheni picha!

    Pia Kuna usanii Sana. Shuleni anapofundisha wife waalimu walipewa t-shirt na kofia. Wakiahidiwa sh 40,000 Sasa CCM timizen ahadi zenu angalau hii ya kuhudhuria mikutano isije ikagharimu Chama
Back
Top Bottom