Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

Mbowe naye ni ziro kabisa. Huyu si ndo alituambia Desemba 2011 kuwa Mgombea ajaye wa CHADEMA ni Dr Slaa? Pia si huyu Mbowe aliyetudanganya kuwa D Slaa yupo likizo?

"Alikundangaya" ?? Na umeshadanganywa vingap? Na wanasiasa wewe kura yako mpe pombe na ya kwangu lowassa mabadiliko inatosha
 
Utafiti waliofanya Uliwaonyesha atakayewasumbua ni Lowassa Maana hata wapinzani wanamkubali!!!!

Amewaambia wanachi wa Karatu Kwamba alimwambia alimuuliza Dr slaa

Je Lowassa akija itakuwaje kuhusu. We we Urais?

Dr Slaa akamjibu aaaah Mimi Mwenyekiti ' Ukatibu mkuu unanitosha !!

Sasa sijui kilichomsibu !!!

ChanZo :channel ten tv

Aliyesema haya ndo Mbowe yule yule aliyesema "Lowassa kupokelewa Chadema? Over may dead body!" Au kuna Mbowe mwingine?
 
Fuatilia hotunba ya mbowe kuhusu vuguvugu la mabadiliko (M4C) akiwa marekani,(2012)Mbowe ni kiongozi wa karne kama humpendi mbowe kale malimau
 
Mbowe anajua usanii alioufanya,ila anajaribu kutafuta wa kumwangushia jumba bovu,D.slaa anapewa shutuma zisizomhusu baada ya kuzungukwa kwa usanii wa Mbowe.

Tunajua kuwa Mbowe ameanza mawasiliano na watu wa ccm toka Mwaka 2005, baada kusubiri Kikwete akatwe na NEC ya ccm ikashindikana na yeye akagombea akapata kura laki Sita tu.

Ikaja 2010, akamvizia Mzee Sitta akatwe ccm ili ahamie Chadema, ikashindikana , akatumia mbinu za Kumwomba Dr.Slaa agombee japo Dr.Slaa hakuwa tayari lakini akakubali kwa heshima ya chama chake .

Na sasa 2015, amevizia Lowassa amekatwa ccm, japo mawasiliano na Lowassa yalianza muda mrefu ila alikuwa anawazunguka wenzie ndani ya chama.

Kifupi Mbowe Chadema hakuwai kuijenga kama taasisi inayoweza kutoa mgombea Urais wala kuunda serikali.

Lengo lake Chadema kiwe chama kikuu cha upinzani ili kiuzike kirahisi kwa wanacccm wanaotaka kuhamia upinzani, na hilo amefanikiwa mwaka huu.


Mbowe atuambie toka Mwaka 2005 kama Mwenyekiti aliiandaa vipi Chadema kama taasisi kushika madaraka ya nchi.?

Mbowe anaamini asichokitenda anatenda asichokiamini.

Kifupi anasiasa za kilaghai.
Kama haya ulioyaeleza ni ya kweli basi Mbowe anaakili sana,yaani kaipanga mipango yote hiyo mbele ya macho ya ccm na akafanikiwa.,, kweli umetuonyesha huyu mtu ni master strategist.,anaakili saana huyu mpiga disko sio?
 
Back
Top Bottom