Godlove jaxon
Member
- Jan 23, 2013
- 49
- 7
DAH....jana tulikinukisha sana sijawahi kufurahi kama jana
viva ARUSHA yetu
viva RAIS LOWASSA
viva ARUSHA yetu
viva RAIS LOWASSA
Kitu gani kipya unataka kukisikia kutoka kwa lowasa? inamaana mpaka leo ujui vipaumbele vyake? au sauti yake inakuvutia ? nyinyi wakati mnazindua kampen pale jangwani bwana pushup aliongea dakika ngapi?
WEWE unafikiri hayo Mafuriko yanayowasumbua CCM yanapatikana vipi? Kikwete kayaita moto wa mabua cha ajabu unazidi kuwaka-watu wote wanaolea kati(undecided voters) Lowassa kesha bebaLabda kwa wazungu. Sio kwa mimi mtz nisioweza kupambanua nilipotoka na nilipo mpaka nioshwe akili na wenye akili zao.
Najiuliza kisa cha mgombea wa Ukawa Bw. ENL kufanya kampeni mara tatu tatu Arusha ni nini?Tuseme ajiamini na kwao?amekosa mvuto kule?au magufuli kabomoa ngome??Loawasa katafute kura sehem ambazo hukubaliki kaka,muda unayoyoma huu,kumbuka kuna sehem hujaenda kabisaa
Tatizo nanyinyi mmenunuliwa toeni habali acheni ushabikiKweli nimeamini kuwa kulia sana kwa ngoma mwisho kupasuka,yule mgombea wa Ukawa aliejazwa nyomi wakati anatangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM,jana hali nilioina pale arusha wakat jamaa akijinadi kupitia Ukawa ni tofauti,licha ya jitihada kubwa zilizofanywa za kuleta watu mkutano haukuweza kufikia hadhi ya ule wa mwanzo!Kwa kweli nami nimekata tamaaa
Nipo hapa.
Peoooooooooples
Wana JF nadhani wote tunakumbuka kilichotokea juzi mkutano wa Arusha CHADEMA uliyo nadiwa na UKAWA kuwa ungerusha live na ITV tuliacha shuguli zetu mapema na kuukaa kwenye Tv kusubiri mkutano huo lakini kilicho tokea kila mtu anajua.
Sasa nimebaki na maswali chungu nzima, ni nini walichoshindwa au walichoogopa maana nilitaka kuwasikiliza kwa hoja zao Lowassa na Kingunge na hasa Kingunge na badala yake tunakuja kulishwa maneno kwenye taarifa za habari.
Mimi binafsi nimekuwa natamani sana kumsikiliza mgombea live akiongea na siyo kulishwa maneno kwenye taarifa za habari ili niweze kupata kuwajua wagombea.