Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 652
Sina hamu na CCM kwa mambo mengii ... ESCROW, EPA, UJANGILI, SEMBE, RICHMOND, MIKATABA YA KIFISADI, KUKWAPULIWA KWA MADINI YETU, GAS ... MAISHA MAGUMU, KODI KUBWA KWENYE MSHAHARA, MISHAHARA DUNI ISIYOKIDHI GHARAMA ZA MAISHA n so much more ...
Halafu ukimalizia na ile katiba ya wananchi iliyotelekezwa jumla baada ya kutumia fedha zetu walipa kodiTsh.33Billion!