Pale mgombea wa Urais anapowasimanga wenzake

Pale mgombea wa Urais anapowasimanga wenzake

H20

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
341
Reaction score
170
Nimefuatilia hotuba ya Mh John Pombe Magufuli akijinadi katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano huko Moshi. Mgombea alithubutu kusema hakuna mwana CCM aliyethubutu kusema kuwa kuna mafisadi ndani ya chama zaidi yake. Maana yake ni kwamba wafuatao wameshindwa:

1. Mwenyekiti
2. Makamu mwenyekiti
3. Katibu mkuu
4. Katibu mwenezi
5. Wajumbe wa kamati kuu
6. Wajumbe wa halmashauri kuu
7. Wajumbe wa mkutano mkuu
8. Wanachama wengine wote.

Hii maana yake ni kwamba CCM hakuna hata mmoja aliye msafi zaidi ya Magufuli? na kama ni hivyo kwanini apewe kura wakati wenzake wote hawathubutu kukemea ufisadi ndani ya chama.

Huku sio kujikweza na kujiona bora kuliko wenzake?

Akiwa Raisi itakuwaje? si atatumia madaraka vibaya?
 
ccm wanampoteaza magufuli, wanadhani kwa strategy yake ya kukiponda chama chake wapigakura watamwona ni maraika!
 
Nimefuatilia hotuba ya Mh JPM akijinadi katika kinyang'anyiro cha urais wa JMT huko Moshi. Mgombea alithubutu kusema hakuna mwana CCM aliyethubutu kusema kuwa kuna mafisadi ndani ya chama zaidi yake. Maana yake ni kwamba wafuatao wameshindwa:
1. Mwenyekiti
2. Makamu mwenyekiti
3. Katibu mkuu
4. Katibu mwenezi
5. Wajumbe wa kamati kuu
6. Wajumbe wa halmashauri kuu
7. Wajumbe wa mkutano mkuu
8. Wanachama wengine wote.
Hii maana yake ni kwamba CCM hakuna hata mmoja aliye msafi zaidi ya Magufuli? na kama ni hivyo kwanini apewe kura wakati wenzake wote hawathubutu kukemea ufisadi ndani ya chama.
Huku sio kujikweza na kujiona bora kuliko wenzake? Akiwa raisi itakuwaje? si atatumia madaraka vibaya?

Is likely to become a dictator
 
Magufuli lini kasimama bungeni na kukemea ufisadi
 
Ni ajabu sana kama yeye anatoka upinzani
 
Jamaa wamepoteza sn mwelekeo. Ss makufuli anajiona yeye ni zaidi ya ccm.
Hizi zote ni dalili za kukata tamaa.
Jamaa ni mkurupukaji sana
 
Nimefuatilia hotuba ya Mh JPM akijinadi katika kinyang'anyiro cha urais wa JMT huko Moshi. Mgombea alithubutu kusema hakuna mwana CCM aliyethubutu kusema kuwa kuna mafisadi ndani ya chama zaidi yake. Maana yake ni kwamba wafuatao wameshindwa:
1. Mwenyekiti
2. Makamu mwenyekiti
3. Katibu mkuu
4. Katibu mwenezi
5. Wajumbe wa kamati kuu
6. Wajumbe wa halmashauri kuu
7. Wajumbe wa mkutano mkuu
8. Wanachama wengine wote.
Hii maana yake ni kwamba CCM hakuna hata mmoja aliye msafi zaidi ya Magufuli? na kama ni hivyo kwanini apewe kura wakati wenzake wote hawathubutu kukemea ufisadi ndani ya chama.
Huku sio kujikweza na kujiona bora kuliko wenzake? Akiwa raisi itakuwaje? si atatumia madaraka vibaya?

Yeye mwenyewe neno "Ufisadi" kaanza kulitamka kwa mara ya kwanza kwenye kampeni. Kabla ya hapo nina hakika hakuwahi kulitumia kabisa, na baada ya uchaguzi...kama akipita (in the unlikely event ya yeye kupita) nina hakika hatalitumia tena, na anaweza akafanya matumizi ya neno hilo liwe kosa kisheria!
 
Huyu Magufuli hapa 'P' (Personality) ya kuwa Raisi. Ni mshamba na ni mtu wa ovyo sana. Hatuwezi kuwa na Raisi mkurupukaji na mropokaji kwa kiasi hiki.
 
Yeye mwenyewe neno "Ufisadi" kaanza kulitamka kwa mara ya kwanza kwenye kampeni. Kabla ya hapo nina hakika hakuwahi kulitumia kabisa, na baada ya uchaguzi...kama akipita (in the unlikely event ya yeye kupita) nina hakika hatalitumia tena, na anaweza akafanya matumizi ya neno hilo liwe kosa kisheria!
Ni kweli, huyu jamaa ndio kaanza kuongelea ufisadi baada ya kuteuliwa kuwa mgombea uraisi. This is the highest degree of hypocrisy.
 
hivi yule kimada aliyetajwa na dr silaa star tv haukuwa ufisadi au ule ni ufisadi mdogo
 
Cnasikia anatumia dawa za kutuliza kichaa ndio maana anakurupuka kama chafya
 
Hamna namna nyingne inabid tyu &#kichinjio kitumike tarehe 25 tuwakate ccm
 
Jamaa ana akili mbovu sn. Nikiunganisha na yale ya libya iraq na kuwait!!!
Sijui nani mshauri wake. Isije kuwa hashauriki km kukwete. Jamaa anajiendea tu km ng`ombe
 
Back
Top Bottom