Recent content by mzee wa malinyi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe Kagame Cup?

    Unafiki na Majungu ndo maisha ya Watanzania. Hawa yanga si ndo walienda kumtembelea huyo anayeitwa muuaji Ikulu na wakala naye chakula?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wawakilishi wa TFF, Azam nje

    Wivu hauwez kukutoa hapo ulipo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Samsung min inauzwa.

    kama una dau nipm tumalizane hapa barazani kuna uzuri na ubaya wake..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Samsung min inauzwa.

    Laptop inauzwa ni samsung min bei ni maelewano.. Piga 0718934313 kwa mawasiliano. Muuzaji yupo Dar.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NSSF

    No wonder vijana wengi hatuna ajira. Maana tumekubali upuuzi utawale uwezo wetu wa kufikiria.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Diamond - Mdogomdogo (Video na Lyrics)

    As long as hajaimba matusi sio mbaya kuisikiliza, midundo haiwez fanya nyimbo iwe ya kipuuzi. Diamond hajawahi kuwa nje na jamii yake siku zote ye ni mswahili tu kama sio kwa nyimbo zake basi kwa matendo yake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Joyce Kiria kuhusu Mbasha

    hivi kumbe unaweza fungwa bila kufikishwa mahakamani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Ulanga Magharib, Kanali Kinana... Tunaomba Wilaya mpya ya Malinyi

    Inauma kuona Malinyi yangu ina hali mbaya.
Back
Top Bottom