Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
basi endelea kuumia! mlifikiri mkidengua mtabembelezwa kama zamani!? huo muda umepita! mwaka juzi mlidanganyana na mbabaishaji membe eti sudan hakuna amani watu wakaenda na wakacheza wakarudi salama na safari mkaleta tena mapozi mkafikiri watawabembeleza, olaah! watu wamecheza na mshindi amepatikana! sasa endelea kuumia na azam itaendelea kusonga mbele na mpira wenu wa magazetini!
Mbona hamjasonga mbele huko Rwanda? Hamkufika hata nusu fainali huku mkiwa wawakilishi wa nchi katika klabu bingwa barani Afrika! Mmelewa mi sifa tu huku mkiwa ovyo kuliko hata Simba na Yanga. Hamtafanikiwa hadi muache kuhonga vinginevyo mtaendelea kuimbishwa 'Ninayo hamu kurudi nyumbani... Kwetu pazuri nimeshapakumbuka...