mzee wa malinyi
Member
- Jun 15, 2014
- 8
- 0
No wonder vijana wengi hatuna ajira. Maana tumekubali upuuzi utawale uwezo wetu wa kufikiria.
MSIKILIZE ALIYEKUWA WAZIRI WA HABARI NA UTAMADUNI, Mhe. George Huruma Mkuchika
Mheshimiwa Mwenyekiti, ndugu yangu Mheshimiwa Manju Msambya hapa amezungumza jambo, naogopa lakini sasa limezungumzwa ndani ya Bunge. Bodi yaTBC ina Wakristo tupu.
Mhe Mkuchika aliendelea:
Mheshimiwa Mwenyekiti, nataka niseme, mimi ni kada katika chama changu, naipenda nchi yangu, naheshimu umoja wa nchi hii, tukianza kuchunguzana kila Shirika Waislam wangapi, Wakristo wangapi, je ikija ikatokezea limekutwa shirika lina Waislam tupu au Shirika lina Wakristo tupu, itakuwaje? Nadhani jamani sisi tumekomaa, tunaangalia nani tumweke pale atufanyie kazi. (Makofi)
ni wale waliojitolea kufanya kipindi cha SABASABA.
Je ili kupata kazi NSSF inabidi uwe Muislamu, is this true?
Je ili kupata kazi NSSF inabidi uwe Muislamu, is this true?
hivi ukituma application kwa email , wataniconsider kweli ama ndo mpaka sanduku la posta, coz naona muda umeisha na sijui this days posta wako fasta kiasi gani???
Uchochezi wapi, I personal visited the offices last time and being told, if you name is not of that side you will never be called in interview even if you Ur qualifying, At a surprise all the candidate were at least having a Muslim name! And the function of this forum is to shout so that things should change. If we shout up, it will continue burning and you never that next! It is out love to NSSF that push this! Let the forum share they experience!
Je ili kupata kazi NSSF inabidi uwe Muislamu, is this true?
Uchochezi wapi, I personal visited the offices last time and being told, if you name is not of that side you will never be called in interview even if you Ur qualifying, At a surprise all the candidate were at least having a Muslim name! And the function of this forum is to shout so that things should change. If we shout up, it will continue burning and you never that next! It is out love to NSSF that push this! Let the forum share they experience!
jamani ivi nilazima ku certify vyeti mahakamani ?mi nilisahau nililisoma tangazo harakaharaka yan nw ndo naona swala la ku certify je ndo ntakuwa tayar nimejidisqualify automatically?au
Umewasaidia kufanya short lost