Recent content by Mzee wa kazi ngumu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kutofautisha weupe wa mwanamke aliyejikoboa na aliezaliwa nao

    Funga safari nenda singida, Manyara, Arusha au kwa wanyantuzu Bariadi utakutana na pisi nyeupee.
  2. M

    JamiiForums Tanzania ID zenu nyingine tunazijua

    JF siku hizi imepoa sana uzi kama huu ungekuwa miaka ya 2017 hadi 2020 ungekuwa umeshaleta maafa sana kwa jinsi ulivyotembea. Anyway uandishi wako unafanana sana na binti flani alikuwa anatumia ID ya Paprika. Alikuwa hapa around 2017 akalaga ban la maisha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata watoto mapacha?

    We gonga mimba wanawake wawili mwanangu acha kuwaza sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara na Kilimo ni Rahisi Ukiwa Unasimuliwa

    Ni kama forex tu nilidhani by 2019 ningekuwa nasukuma Lamborghini au Volkswagen lakini duh! 2026 hii nakomaa na ponchi na nyundo Nyarugusu hapa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Kuna watu kibao wanamuona Nyerere alikuwa mzinguaji katika uongozi wake. "The dark side of Mwalimu Nyerere" ni kitabu kinachoelezea uchafu mwingi tu wa Mwalimu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania ‘Fixed’?

    .....but these guys..... .....they were.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Kwa maelezo ya AG leo bungeni baada ya kufukuzwa uanachama ndio kilikuwa kikoma cha umakamu wa Rais wa Nchimbi. Hiyo ndiyo CCM.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Kwahiyo Jamaa hata mafao hatopata duh!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Mkapa aliwahi kuwa balozi. Dr. Salim aliwahi kuwa balozi. Mzee Malechela aliwahi kuwa balozi. Enzi za Mkapa uliwahi kuona anaitwa Rais wa Tanzania Balozi Benjamin Mkapa?. Au uliwahi kusikia Dr Salim anaitwa waziri mkuu Balozi Dr. Salim A. Salim. Au vp kwa Mzee John Malechela akiwa Makamu wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Pasco acha huu ujinga mwandishi gani wa habari wewe?. Andika Makamu wa Rais (Dr) Emmanuel Nchimbi. Na sio Makamu wa Rais. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi. Tumia jina la cheo anachokitumikia wakati huu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Rais Samia ni ipi mpaka sasa?

    Hizi komenti zako zinaonesha unaakili ndogo sana.
Back
Top Bottom