Labda kwa kuwa failure!!!Hahahaa, kweli hili ni jeshi namba 6 kwa ubora.
Hiyo mikorokoro aliyobeba anaenda vita wapi?Jeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
Wanakesha wanauliwa na mbu huku akina chievo na genge lake wanatanua clubHawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.
Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.
Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
No 6 sini figa ya umbo la malaya ...inaelekea wewd ukuelewa maana yake jeshi lenye umbo no 6Hahahaa, kweli hili ni jeshi namba 6 kwa ubora.
Delta force wachome wese wakati wakituma mtu mweupe mmoja tu anatoa maneno, mnatoa madini.Jeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
Kagame anawakamata kama panya tu na kuwarudisha na mizigo yao hiyoJeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
Aikoooo! šš Matusi makali sana haya.Pumbavu wewe mwanajeshi kalale huko polisi wakulinde.
Nasikia Delta force waliingia hvyo Venezuela kunyaka Amiri Jeshi.Acheni ushamba! Hakuna mwanajeshi anayeingia field na mabunduki yote hayo mnazugwa tu hapo na kutishwa baada ya jeshi kuwa tawi la ccm! Watanzania siyo wajinga tena waambieni hao watengeneza script za kijinga hivyo.
Ndio kazi wanayoifanya na lazima tuiheshimu sisi baadhi ambao tunajua wanachokifanya.Wanakesha wanauliwa na mbu huku akina chievo na genge lake wanatanua club
alikua na mabomu ya machoziSi wanadai wanamshikilia mwanajeshi wa Marekani?
š¤£š¤£š¤£Hawa wapumbavu huwa wananichekesha sana
šš Hapo kwenye jogging was necessary!?Ponjoro on the 1 and 2 katika ubora wako.
Unawasema ndugu zako wazee wa castle lager za chupa jogging wamakwenda saa moja kasoro wanazuia barabara yote ya bahari beach
Leo mnawaita wapumbavu kwa sababu mlitegemea eti wawaunga mkono katika ule uharibifu wenu mllioufanya tarehe 29/10.Hili ni jeshi linalojitambua na lenye nidhamu toka zama. Nyinyi miichongeshewa akina Tesha wale mkadhani ndio wanajeshi wenyewe. Hamna akili.Hawa wapumbavu huwa wananichekesha sana
Hahahaaaalikua na mabomu ya machozi
nchi hii hahaaa
Siyo kweliNasikia Delta force waliingia hvyo Venezuela kunyaka Amiri Jeshi.
AIš¤£š¤£š¤£Jeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
š š šToka lini CDF anatumia lotion za kike kushindana na wadada wa mjini
Wanajeshi wenu wa kibongo wasengerema na mamburula tu. mafala tu.Ndio kazi wanayoifanya na lazima tuiheshimu sisi baadhi ambao tunajua wanachokifanya.
Wanakesha wao kwa ajili ya kukoroma kwetu usiku, lazima tuwaheshimu.
Pole ila inapunguza sana watu kuwahi kazini maana saa moja.kasoro gari zinasimamishwa toka njia panda ya nyuki wazee wana march.šš Hapo kwenye jogging was necessary!?