Recent content by Mzee Rufiji

  1. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Hivi mkuu ukiwezaje kununua makorokoro ya ndani, maana Mimi hata sifikirii. Nilirudi tu napika nakula nacheki movie kwa PC kidogo huyooo kulala. Hata kununua vitu naona uvivu
  2. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Hongera sana mkuu. Naomba kujua bei za mashamba zipoje huko???
  3. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Alikuwa Jaji sasa huyo jaji ni nani?
  4. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    Anapigwa chache. Tunza hii comment
  5. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars imefugwa 5 na FAR Rabat. KAZI IPO kwa Gamond

    Yaani mapema tu tumeshatolewa
  6. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Mbeya University of Science and Technology versus Massachusetts Institute of Technology

    Ulisikia wapi???? Uliona wapiiiiij???
  7. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Old is Gold: Good music never dies

    Nikipata muda nitashusha makontena ya old skool
  8. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Old is Gold: Good music never dies

    Hii naikubali kisenge. Jamaa baada ya kutoa hii ngoma sikumsikia tena sijui yupo wapi???
  9. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Si ndio mkuu
  10. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Mbaya zaidi jamaa mwenyewe ni mgonjwa wa KANSA ya tumbo
  11. Mzee Rufiji

    JamiiForums Tanzania Je, maisha magumu humjenga mtu au humvunja?

    Yasikie kwa wenzio
Back
Top Bottom