Recent content by Mzee Mlowezi

  1. M

    Ahadi ya mzee kikwete hiyo

    Mzizimkavu kwani neno mlowezi lina ubaya gani, mimi nimelowea kwenye nchi za watu sioni huo ufisadi unaingiaje kwenye jina langu. Huo ufisadi unaouzungumzia ni jukumu la bunge la TZ kuushughulikia kwani nchi ina vyama vingi sasa na Kikwete si dikteta. Labda mwenzangu unawezaunielimisha kuhusu...
  2. M

    Tanzania yetu ina majasusi wa aina gani?

    Wenzetu wanayojua shughuli hizo husaidia sana nchi zao. Sasa nyinyi ndugu zangu mnaolaumu ujasusi wa Tanzania mnanyeti gani ambazo zitasaidia uchumi na maendeleo ya bongo licha ya kuwa yawezekana kabisa kuna mambo chungu mzima yako mbele ya macho yenu huko mliko ambayo yangenufaisha nchi yenu...
  3. M

    Ahadi ya mzee kikwete hiyo

    Waheshimiwa mbona wengine mnaongea kama vile Tanzania ilipata uhuru miaka mitano iliyopita? Lazima ikumbukwe kwamba tangu tupate uhuru umasikini umekuwa adui yetu namba moja, lakini utatuzi wa kuwatoa wananchi wote kwenye umasikini bado hatujafanikiwa. Kumlamu Kikwete kusabibisha au kutowatoa...
  4. M

    ~!~ Hii ndiyo Katiba ya CCJ ~!~

    Hawa wana wania 2015 kwa hiyo muda bado upo.
  5. M

    Serikali ya Tanzania inatumia ipasavyo Tafiti za Wasomi wake?

    Kweli kabisa hii ni thread nzuri sana. Lakini mimi nina kajisuali kuhusu jamaa mnaowakandia baadhi watatafiti wa Bongo. Nawaombeni kwa hisani zenu mnitumie "any of your scientific critiques of any of the works of those your criticising" kwa mfano tafiti za REDET. Nadhani hii itakuwa hatua ya...
  6. M

    Kwanini wazungu husaidia haraka kwenye majanga?

    Hivi wakulu mmesahau kama Bongo ni mtemi kati ya watemi wakusaidia? Bongo inasaidia wanapoweza kusaidia. Kwa mfano Bongo imewahi kusaidia wakimbizi wa Afrika kusini, Zimbabwe, Ruanda nk.
  7. M

    Hotuba ya JK ya Mwaka Mpya 2010

    Kwani chanzo cha mgao wa umeme ni nini na rais wa nchi anawezaje kumaliza shida hiyo? MImi nilidhani TZ tulishaondoka katika zile zama za kufikiri rais tu ndiye anayeweza kuleta mabadiliko nchini peke yake. Matatizo ya Tanzania ni ya jamii nzima na yanahitaji kubadilika kwa mawazo ya jamii...
  8. M

    REDET na balaa la Ufisadi

    Yaani mna maana huyu Dr. Bana angekubaliana na mawazo ya akina Butiku basi hapo angekuwa amaelimika, hana njaa na anafahamu demokrasia?
  9. M

    Mbadala wa JK

    Hii sasa ni chuki isiyo kichwa wala miguu, kwani baba yake alikuwa na ubaya gani?Isitoshe yeye ni Hussein na baba yake ni Hassan.
  10. M

    JKN a great visionary

    Zakumi, hakuna matata, hebu nitonye basi nianzie wapi?
  11. M

    JKN a great visionary

    Sorry it is VISIONARY and not vionary
  12. M

    JKN a great visionary

    The late Mwalim JKN's world vision was fantastic. For example, he envisioned the impotance of China as an economic super power long before the current only super power did. As for Tanzanians, we thought he was crazy to associate our country with communist China. What a pity, see what is...
  13. M

    Comoro yatamani Muungano na Tanzania

    Pia tusisahau umuhimu wa, kwanza umbeli wa Comoro kutoka Tanganyika na pili ule mseto wa raia wa comoro wakiwemo wengine ambao kwa sasa hivi ni wapinzani wa muungano wa Tanganyika na Zanziba!
  14. M

    Government to sue NorConsult

    Halafu JK anaimba Norway itultee mabingwa wa kumaliza rushwa Tanzania! Kazi kubwa hapo.
  15. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    PM ahsante kwa hiyo link. Lakini mbona wote hao si wachagga na pia sidhani kama hawa wanahusika na kuajiri watu. Kwa context ya mada hii ingekuwa bora kama tungepata list ya vigogo wa HRM pale TRA.
Back
Top Bottom