JKN a great visionary

Mzee Mlowezi

Member
Jan 16, 2007
27
2
The late Mwalim JKN's world vision was fantastic. For example, he envisioned the impotance of China as an economic super power long before the current only super power did. As for Tanzanians, we thought he was crazy to associate our country with communist China. What a pity, see what is happening now the world's leading democracy borrowing money from the world's leading communist country!
 
Umuhimu wa China na India kwa nchi za magharibi ulijulikana kabla Nyerere ajaenda Edinburgh. Usione uvivu kupekua maandishi.
 
Umuhimu wa China na India kwa nchi za magharibi ulijulikana kabla Nyerere ajaenda Edinburgh. Usione uvivu kupekua maandishi.

No no noooooo....nooop Zakumi!

Sio ishu ya uvivu wa kupekua vitabu, otherwise kusingekuwa na kuleta threads hapa, maana tunge`assume ` kila mtu ashapekua vitabu na dokomenti husika!...Hapa tunajuzana na kushea kile ambacho unapenda wenzio wajue..

Kwa akili zako unadhani wangapi walijua juu ya umuhimu wa China et al` kwa Western Countries!...Lets discuss the pertinent matter here, not much-knowing...huh!
 
Zakumi, hakuna matata, hebu nitonye basi nianzie wapi?

Unajua kuwa waMarekani walipinga India kupata uhuru?. Na Nyerere alipotaka China kuwa superpower, nia yake iwe mkombozi wa nchi zisizo na sauti. Lakini sasa hivi China ni wezi kwa nchi zisizo tofauti. Anaanza kuiba kama walivyoiba nchi za magharibi.
 
No no noooooo....nooop Zakumi!

Sio ishu ya uvivu wa kupekua vitabu, otherwise kusingekuwa na kuleta threads hapa, maana tunge`assume ` kila mtu ashapekua vitabu na dokomenti husika!...Hapa tunajuzana na kushea kile ambacho unapenda wenzio wajue..

Kwa akili zako unadhani wangapi walijua juu ya umuhimu wa China et al` kwa Western Countries!...Lets discuss the pertinent matter here, not much-knowing...huh!

I am sorry.
 
Back
Top Bottom