Ahadi ya mzee kikwete hiyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi ya mzee kikwete hiyo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 4, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Pres. Kikwete’s “Maisha bora kwa kila Mtanzania”

  [​IMG]Five years already and it doesn't appear to have brought any difference to the lives of these two boys, whom I spotted following proceedings to mark the Day of the African Child at Chanzulu village

  [​IMG]
  [​IMG]The two photos above show an old woman called Loi, in front of and in her house in Ibwaga Village. She has lost her sight with age, and lives with her daughter who is deaf. They normally depend on farming for their livelihood but last year their farm was among many others that were destroyed by the December floods in Kongwa District. At the time photograph was taken they had stock of only ten kilos of ”uwere” left.

  [​IMG]
  [​IMG]Above, Ekilia Ngonyani, 46 is a single mother raising five children alone. She is also suffering from an unestablished condition that has caused her stomach to swell up and has been for the past 16 years. She cannot afford to go to a 'big hospital' as advised by the doctor in her village. For a living she walks 14 kilometres thrice a week to buy vegetables in a village called Tubugwe and only gets Sh2000 in profit for her trouble.

  [​IMG]Theresa with her four grandchildren, having lunch of boiled 'uwere,' the family can only afford to eat two meals a day.

  [​IMG]A young boy Village walks more than 20 kilometres in one week to collect firewood.


  Pres. Kikwete’s “Maisha bora kwa kila Mtanzania” « JamiiForums|TMF Blogs

  tunako kwenda jamanı tutafıka? Mimi nawauliza ndugu zangu wa J.F
   
 2. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Haaaa....aaaaah ukichoka mbele ya safari wape na wenzio msaidiane kwani haya ndio maisha bora saizi yenu

  [​IMG]
   
 3. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,427
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Na bado anataka miaka mingine mitano,watu kama huyo mwenye picha juu Ekilia Ngonyani si watakufa kabisa? Marekebisho ya vituo vya afya yanaendelea sawa tunakubali,mtu mwenye hali duni kama huyo anawezeshwa vipi kupata hiyo huduma?
   
 4. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2010
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sasa media zetu bwana mnalalamika kuwa BBC na CNN wanaonesha picha mbaya tu, sijui na wenyewe hapa ndio mnafanya nini?

  How about the picture below to showcase "ahadi ya mzee kikwete" ? Huyu jamaa kanunua Hammer mwaka jana tu, ndani ya msimu wa maisha bora kwa kila Mtanzania.

  [​IMG]
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Da, kumbe mie TAJIRI?

  Mungu nisamehe.......................

  Nilikuwa nalia sina viatu, ila kuna wengine hawana miguu...............
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Dar Milionea,
  Lakini kuna wangapi saizi yake?
   
 7. M

  Mzee Mlowezi Member

  #7
  Jul 6, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa mbona wengine mnaongea kama vile Tanzania ilipata uhuru miaka mitano iliyopita? Lazima ikumbukwe kwamba tangu tupate uhuru umasikini umekuwa adui yetu namba moja, lakini utatuzi wa kuwatoa wananchi wote kwenye umasikini bado hatujafanikiwa. Kumlamu Kikwete kusabibisha au kutowatoa watu kwenye maisha yanayoonyeshwa kwenye picha hizo juu ni kupotosha hali halisi inayoikabili nchi yetu. Kwa mantiki hiyo itakuwa vigumu sana kutatua au kusaidia kutatua matatzo ya nchi yetu.
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mzee Mlowezi kama jina lako lilivyo na Serikali yetu ndivyo ilivyo Ulowezi,Ufisadi,Wezi Wa Mali ya Umma, Rushwa na kila Ubaya Serikali yetu inayo. Kwanini tunamtupia Mzee Kikwete huo Mpira? Kwa Sababu yeye ndiye Mdhamini mkuu wa hii Serikali yetu. Mzee Kikwete na wale aliowachaguwa nina maanisha Mawaziri, Wabunge ,Wakuu wa mikowa,Wakuu wa Wilaya wengi wao hawafanyi kazi kama ipasavyo. Wengi wao hao Viongozi wa Serikali ya Mzee Kikwete ni Viongozi wanaopenda ubinafsi na Ufisadi ndio maana nchi yetu haiendelee inakuwa Masikini kila kukicha ndio maana tunamtupia huo mpira Mzee Kikwete ndiye tuliye mpe Ufagio wa chuma lakini Mzee Wetu Kikwete hautumii huo Ufagio wa chuma. Na ndio maana kila kitu tunamlaumu MzeeJ. Kikwete na Serikali yake haifanyi kazi vizuri kama ipasavyo. Ukiangalia Sisi Watanzania tupo 40 Millioni kwanini Nchi yetu bado iwe masikini? ukiangalia tuna kila kitu Ardhi nzuri,Maziwa tunayo,Mito tunayo Madini tunayo mali asili tuna kila kitu cha kuondowa Umasikini. Lakini bado tupo na ugonjwa sugu wa Umasikini kwanini tuwe masikini mpaka leo Na kila kitu tunacho? Jibu Viongozi wa Serikali ni Viongozi wabovu wavivu na si watekelezaji wa kazi ni Viongozi wanaopenda Ubinafsi na wafisadi wa mali ya umma. Hebu Angalia Nchi kama China ilivyokuwa imeendelea kiuchumi na sasa imekuwa ni Nchi tajiri Duniani kupita nchi zote kwa sababu ya uongozi mzuri. Nchi kama China ina watu zaidi ya Billioni moja ni nchi yenye watu wengi duniani lakini imekuwa ni nchi tajiri kuliko zote Duniani. Kwa sababu gani? utapata jibu kuwa China imekuwa Tajiri na imeendelea zaidi kwa sababu ya uongozi mzuri hayo ndio ushauri wangu itabidi tuamke tuchaguwe Viongozi wazuri sio Viongozi Wala Rushwa Wafisadi wa mali ya umma Asanteni.
   
 9. M

  Mzee Mlowezi Member

  #9
  Jul 6, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzizimkavu kwani neno mlowezi lina ubaya gani, mimi nimelowea kwenye nchi za watu sioni huo ufisadi unaingiaje kwenye jina langu. Huo ufisadi unaouzungumzia ni jukumu la bunge la TZ kuushughulikia kwani nchi ina vyama vingi sasa na Kikwete si dikteta. Labda mwenzangu unawezaunielimisha kuhusu katiba ya TZ.
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  Jul 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Hapana, ni kwa sababu jamaa huyu alimdhulumu Saida Karolil. Maisha mema yanayotokana baadhi yetu kuwakamua wenzao nadhani siyo maisha tunayotaka.
   
 11. J

  Jafar JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne

  1. Ardhi
  2. Maji
  3. Pesa
  4. Rais mwingine sio JK
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jul 6, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Rais wetu ni taswira ya jinsi Watanzania tulivyo, otherwise kwa nini alichaguliwa 2005 na ataendelea kuchaguliwa tena 2010? Kama Rais ni msanii, ina maana wengi wetu ni wasanii, kama Rais wetu anatoa ahadi hewa, wengi wetu huwa tunatoa ahadi hewa, nk.
   
 13. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Thanks MziziMkavu for putting these photo. Inatia uchungu sana kwani maeneo haya nayafahamu, na hata baadhi ya wahusika nao wanafahamika kwangu. Duu hv hawa wakuu wetu wanayaona haya? Nakikumbuka kijiji hiki cha Ibwaga ndiko anakotoka/alikozaliwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mh. JYN.
   
 14. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2010
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jasusi,

  Ishu sio wangapi wa saizi yake (yaani wenye uwezo wa kununua Hummer), ila ishu ni wangapi wamepiga hatua toka pale walipokuwepo kwenda mbele zaidi au japo kidogo. Mfano kwenye hizo picha za mleta mada huyo dogo leo hii ana baiskeli lakini huwezi jua labda hapo awali hakuwa hata na baiskeli.
   
 15. RR

  RR JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Huyu bibi na watoto sio sehemu ya 'kila mtanzania', ila Muta (na wafananao) ndio 'kila mtanzania'.
  Hivi aliyewaloga mkaamini muujiza wa jamaa ni nani? With a flip of the fingers kila mtu ahamie mbinguni toka Tanzania?
   
 16. w

  wakumbuli Senior Member

  #16
  Jul 6, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli tunatofautiana,lakini swala ni kwamba nnshu isiwe rais sbb kwa tanzania yetu ni ya sasa ni ngumu kufika pale tunapohitaji kwa sbb nnchi yetu inamiopango mizuri lakini utekelezaji wake ni swala gumu sana na weatekelezaji wake ni sisi,hivi inawezekana rais kusaidia mmoja mmoja ukizinatia watu wenye kipato cha chini starehe yao ni kumegana na mwishowe kuwa na watoto rundo
   
 17. M

  Mbutuka Member

  #17
  Jul 6, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi nasema kuendelea kumlaumu JK si ufumbuzi wa matatizo? Maraisi wangapi wamepita na hali ni ile ile? Issue nyingi za ufisadi zilikuwa wakati wa Mkapa lakini watu wamenlinyamaza kimya. Maisha bora hayaji tu kwa kukaa kijiweni na kucheza bao, mnataka JK atawekee pesa mifukoni? Hebu fikiria maraisi waliopita wamefanya nini katika kupunguza umasikini? Jibu hapana zaidi ya kujilimbikizia mali katika sehemu mbalimbali. Tutaendelea kumlaumu JK na watendaji wake! Kikwete anaendeleza mfumo ule ule aliouleta baba wa taifa Mwl. JK. Tuache kulaumu badala yake tufanye kazi kwa bidii, kila mtu kwa nafasi yake anauwezo wa kubadilisha mfumo huu dume tuliorithi kutoka kwa Mwl. JK. Hebu angalia wenzetu Kenya walivyoamua kubadili mifumo yao ya kiuongozi, angalia kule Zimbabwe? Watanzania tumebaki JK, JK hata aje nani katika mfumo uliopo mambo yatakuwa yale yale.
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  yaani kumbe huyu ni Bwana muta yule wa FM studio kule kinondoni hugo house...nilikuwa sijamuelewa. duh....hummer...hapo ndo mutajua ya kuwa mimi ni muhaya....ninazo kama izo tatu kule home nimezipark tu..
   
 19. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani maisha yalivyo huko vijijini unaweza ukalia...
   
 20. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa ni ndugu yake kikwete?
   
Loading...