REDET na balaa la Ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

REDET na balaa la Ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Dec 19, 2009.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,082
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani REDET ipo kwa madhumuni gani hivi wanaweza kujisifu ati wanafanya kazi kiuadilifu au ni mradi wa CCM. Hizi tafiti wanazofanya sasa zimejeuka kuwa word of mouths kwanini wasiingie mtaani waka-conduct research kuona wangapi wanawa-support MNF? Hii REDET tangu ianzishwe sijwahi kuona credibility yake zaidi ya njaa za wahusika.

  Ati kwanini MNF wasingemtafuta kuongelea matatizo in privacy? Kwani Kikwete (Wakubembea) anavyoombaga kura anaomba in privacy au huingia mitaani na kuwahadaa wananchi? So why not blasting him if he is keeping ignoring himself from the Walalahoi pleas?  REDET researchers differs with Kikwete's critics
  LEVINA KATO, 18th December 2009 @ 20:02, Total Comments: 0, Hits: 75

  A PROMINENT research institute at the University of Dar es Salaam (UDSM) yesterday added its voice in disapproval of criticism against President Jakaya Kikwete at a recent symposium organised by the Mwalimu Nyerere Foundation (MNF).

  Research and Education in Tanzania (REDET) Co-Chairman, Dr Benson Bana, told a news conference in Dar es Salaam that criticisms made at the symposium were mostly baseless, irreverent and uncalled for.

  Dr Bana said some of those who had bad words for the President and the Fourth Phase Government included former prime ministers, ministers and regional commissioners.

  "The speakers including Mr Joseph Butiku, Justice Joseph Warioba, Dr Salim Ahmed Salim, Mr Frederick Sumaye and Mr Mateo Qaresi could have easily sought audience with the president instead of criticizing him at public fora," he said.

  Dr Salim, the chairman of MNF, Justice Warioba and Mr Sumaye are former prime ministers, while Mr Butiku was longest serving private secretary to the Father of the Nation, Mwalimu Julius Nyerere. Mr Qaresi was minister and regional commissioner.

  The REDET official said apart from having audience with Mr Kikwete, there were plenty of other fora that could have been used by the former leaders to reverently communicate their feelings to the public, such as publishing books, establish consultancy firms or write editorials.

  The don strongly disapproved the approach used by the former leaders, pointing out that if the practice was left unchecked, it could drive the nation into chaos.

  Dr Bana's remarks come a few days after some politicians, clerics and individuals faulted the president's critics. Some of them have gone as far as suggesting prosecution of the critics for treason.

  He wondered why such attacks were coming hardly a year before Tanzania holds general elections.

  Dr Bana said some of the remarks in the so-called agenda to restore the nation's political glory and image smacked of political manoeuvres to advance some personal interests.

  He said Justice Warioba and Mr Butiku repeatedly during the forum asked President Kikwete to make tough decisions.

  Dr Bana, however, questioned sincerity of the appeal, saying Tanzania was governed by the rule of law, where the president cannot make unilateral decisions instead of leaving the task to relevant state organs.

  "It is only ex-President Ali Hassan Mwinyi who made a tough and honest decision by stepping down, when people under him messed up.

  "But it is surprising the very people who were silent when things went wrong, when they were in government are today coming out putting pressure on others.

  "Let us refrain from putting up pressure on the president to make decisions whose repercussion will be judged by history," he explained.

  He urged Justice Warioba to refrain from threatening Tanzanians, with his "imagined" fears that the country was now deeply divided along religious and tribal lines, as well as claims that there were two distinct classes -- the haves and haves not.

  Dr Bana, however, said MNF was still a credible institution, but warned that there were a few individuals now soiling it. "There are fears that some of them are using it to advance their personal agenda," he noted.

  Meanwhile, President Amani Abeid Karume will officiate at the first state of Zanzibar politics symposium to be held at the New Bwawani Hotel in Zanzibar on Tuesday and Wednesday, next week.

  REDET said in a statement yesterday that 10 papers would be presented covering constitutional, cultural, historical and political issues as well as the 2010 General Elections.

  http://www.dailynews.co.tz/home/?n=6194&cat=home
   
 2. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  huyu Dr. Bana anajaribu kujikomba ili kikwete amkumbuke nae kwenye ufalme wake.

  Freedom of expression is the right of every citizen. Inaelekea Dr bana alienda shule lakini hakuelimika na bado ana mawazo watanzania wa leo ni sawa na wale wa miaka ya 47.

  Let the people to have constructive ideas for the good of our nation
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa ndio unaweza kutambua bila shaka kwamba kuna watu wameenda shule lakini hawajaelimika. Huyu Dr bana na REDET yake ni tawi la kikwete na sii tu kikwete bali hata mtawala atakaekuja lazima wamsujudie ili mkono uende kinywani. Fikiri mtu tena Dr anahoji eti kwa nini hawa kina Butiki wanatoa madai yao haya kipindi cha karibu na uchaguzi. Huu mtizamo wa bana unalenga kutwaa madaraka ya kiutawala na mbinu za kuyashikilia bila kujali madhara yanayojitokeza. Mawazo yangu nilikuwa nafikiri REDET ni taasisi inayojihusisha na tafiti za kitaalam zisizofungamana na upande mmoja kumbe ni kijiwe cha waganga njaa wanaojikomba kwa watawala. Hayo maoni ya Bana ndio aliyopaswa kumshauri rais privatly maana kuyaweka hadharani ni kudhalilisha umma wa watanzania. TO HELL WITH SO THOUGHT REDET!!
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Dec 19, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  1. REDET
  2. BBC

  Watch out!! , kamuulize Tido na Mkandara, sijui Bana anawania nafasi gani! anataka akina Butiku wafanye consultancy ya kuwa serikali ya JK bomu!! nani asiyejua??

  Miaka minne sasa watu wanapiga kelele zile zile, this is enough and solid platform that JK's government is extremely weak kuliko mlenda wa Bagamoyo

  Likewise Dr.Bana he also fails to tell us what makes him think JK's governance is good!

  Hawa ndio wanawasukuma akina Nchimbi kujipatia PhD za miezi sita! kwa comment kama hizi.

  Wapinzani; CCM wanatumia sana BBC kuliko mnavyodhani na BBC inakamata kila kona Tanzania! wakifanya vizuri ndio hao akina Tido Mhando wanapewa shukranii!! na wanaendeleza mambo yao kwa kutuzimia TV pindi CCM wakiulizwa maswali magumu,

  Huko mlimani-UDSM MkAndara anaendeleza wembe wake wa kuwanyima watu kama akina Profesa Baregu mkataba!!
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,808
  Trophy Points: 280
  Pale mlimani siku hizi pamejaa losers wengi kweli.
   
 6. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,082
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  hajui kwenye Demokrasia, serikali huruhusiwa kufanya uozo halafu kipindi karibu cha uchaguzi huanikwa! Si tu Tanzania kila nchi, maana hizi serikali uchwara huambiwa sana kuhusu udhalimu wao juu ya wananchi ila huweka maskio pamba! Na huyazibua pale wanapoona kitumbua kiko karibu kutiwa mchanga au kuputwa!
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Pale mlimani sio kama zamani wamebakia walevi tu na vibaraka kama huyo Bana!! Heshima ya chuo imepungua na ndio maana watu wanapata SHAHADA BILA KUINGIA DARASANI matokeo yake unapata watu wana PH.D lakini watupu kichwani.!!
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ameelimika ila njaa ndiyo inamsumbua. Mwaka 2005 BBC kiswahili ilikuwa inaenda LIVE kwenye nominations za JK pale Dodoma, kuanzia kwenye vikao vya NEC mpaka Mkutano Mkuu. Ulishawahi kusikia BBC ikienda LIVE kwenye chaguzi nyingine? Matunda yake ndio akina Tido Mhando kuamua kustaafu BBC na kuja kupewa TBC.

  Kwa hiyo Dr. Bana anajua anachokifanya na hicho ndio kimekuwa kikifanywa na wasomi wengi tu. Very soon REDET watakuja na matokeo ya tafiti njaa zao na kumpa ujiko JK.

  Baada ya uchaguzi wa mwakani, Dr. Bana atakaa mkao wa kusubiri ujira wa post nzito na yenye maslahi badala ya kukomaa kufundisha UD na anaishia kulipwa net salary ya around $ 1000 wakati kuna watu waliopewa nafasi na JK wanakamata zaidi ya $ 3000 kwa mwezi na marupurupu kibao!
   
 9. M

  Mzee Mlowezi Member

  #9
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani mna maana huyu Dr. Bana angekubaliana na mawazo ya akina Butiku basi hapo angekuwa amaelimika, hana njaa na anafahamu demokrasia?
   
 10. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Na wewe je, unaonaje ?
   
 11. M

  Magezi JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kwa ujumla Dr. Bana huwa anahoja za maana wakati mwingine lakini ni mtu anapenda kujisifu na kujiona anafaa na mawazo yake ndo yanafaa. Lakini mimi namuona Dr. Bana kama limbukeni tu wa masuala ya siasa. Anajikomba kwa CCM kwa sababu anaendeshwa na Prof. Mkandara.

  generally REDET ni mradi ulioanzishwa kwa ufadhili wa pesa za wamarekani (USAID) na wengine lakini malengo ya REDET yamepindishwa na sasa imekuwa chombo cha propaganda cha CCM.
   
 12. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  A PROMINENT research institute at the University of Dar es Salaam (UDSM) yesterday added its voice in disapproval of criticism against President Jakaya Kikwete at a recent symposium organised by the Mwalimu Nyerere Foundation (MNF).

  Research and Education in Tanzania (REDET) Co-Chairman, Dr Benson Bana, told a news conference in Dar es Salaam that criticisms made at the symposium were mostly baseless, irreverent and uncalled for.

  Dr Bana said some of those who had bad words for the President and the Fourth Phase Government included former prime ministers, ministers and regional commissioners.

  "The speakers including Mr Joseph Butiku, Justice Joseph Warioba, Dr Salim Ahmed Salim, Mr Frederick Sumaye and Mr Mateo Qaresi could have easily sought audience with the president instead of criticizing him at public fora," he said.


  REDET ya jana sio ya leo. sasa hivi hawafanyi kazi nyingine zaidi ya kutetea chama tawala kwa gharama yoyote. Objectivity hakuna kabisa, zero!! Dr Bana amewekwa pale, na aliyemweka ni rafiki wa Muungwana.
  Dr Bana na akili zake zote alizonazo kuongea maneno hayo utadhani amelogwa, yani anataka watu wasiongee hadharani wamfuate muhusika chamber, Political Scientist gani huyo. Siku hizi mimi huwa siwasikilizi, pumba tu.
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Code:
  
  
  Code:
  
  
  Hivi Dokta Bana hajasoma na Nchimbi PhD yake?  Code:
  
  
  Code:
  
  
  Alitaka criticisms zianze 2007? Au alitaka tusubiri 2011?


  Code:
  
  
  Code:
  
  
  Nimeamini..ashibaye hamjui mwenye njaa
   
 14. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Why should they seek audience with the President who does not listen? Maana ya ku-seek hiyo audience ni kutafuta kunyamazishwa tu.

  Sijui kama Dr. Bana anadhani Kikwete hasikii yanayosemwa na watu kila kona ya nchi kuhusu utawala wa nchi. JK aliporudi kutoka kwenye bembea, aliambiwa kilichosemwa katika kikao hicho. Si yeye tu, bali hata Katibu Mkuu wa chama walisikia na kusema kuwa, waliotoa mawazo yao wanajulikana wanasimamia upande gani. Maana yake ni kwamba, JK na wenzake hawako tayari kusikiliza watu hao. CCM ya sasa ndivyo ilivyo. Kwahiyo Dr. Bana anatakiwa kujua kuwa hakuna hiyo audience anayoisema.


  Kwanini Dr. Bana anadhani kuwa forum iliyotumiwa na viongozi hao ni sawa na forum nyingine ambazo anashauri wazitumie?

  Kwa mtazamo wangu, kuchapisha vitabu, au ku-establish consultancy firms sio njia rahisi na za lazima za kuelezea mtizamo kama ambavyo msomi huyu anaetia mashaka anavyotaka kutufanya kufikiri. Yaani ana maanisha kuwa, kama nina mawazo ni vyema niandike kitabu kuliko kusema? Nadhani kuna siku atatuambia kuwa maji yanapanda milima na sio kushuka.

  Sijui ingekuwa na tija gani kwa viongozi hao kuanza kukaa chini na kuchapisha vitabu kuelezea mawazo yao kuhusu utawala wa Rais Kikwete na kushindwa kwake kufanya maamuzi. Sijui kama vitabu hivyo vingeweza kufikia watu wangapi na kusomwa na kueleweka kama inavyotakiwa (tofauti na forum iliyokuwepo).

  Sindhani kuwa kinachoweza kusababisha chaos ni kauli kama hizo. Bali kinachoweza kuleta matatizo hayo ni kutokuwa na utawala bora an vitendo sahihi vinavyotegemewa na serikali.
  Hii inanifanya nianze kufikiri kuwa REDET ina maslahi binafsi na utawala wa Kikwete, haiko kwa maslahi ya umma, haitekelezi majukumu yake kwa kufuata utaalam kama tunavyodhani na inatumiwa na watu wanaofaidika na uongozi mbaya unaoendelea nchini.

  Ni rahisi sana kujua kuwa, wakati kama huu ndio wakati ambao kauli za ubovu wa serikali zinasikika na zina kuwa na maana kuliko wakati mwingine wowote. Hakuna faida yoyote ya mtu kukaa kimya wakati huu na kuachia kiongozi dhaifu kuchaguliwa tena ndipo useme. Wakati ndio huu. Kwakuwa watanzania wanatakiwa kujua jinsi ya kuamua ifikapo uchaguzi mkuu ujao. Mimi nimeshafanya uamuzi wangu.
   
 15. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Hapana. Dr. Bana hana sababu ya kukubaliana na mawazo ya mtu yeyote. Ila pia, watu wengine hawana sababu ya kuwa na mawazo kama yake.

  Kinachotia wasiwasi ni mtazamo wake kuhusu watu wengine kutoa mawazo yao. Angeweza kueleweka vizuri zaidi kama angesema kwa kina zaidi ni kwa kiasi gani kauli zilizotolewa zina makosa, na yeye akasema kwa kina anavyodhani inatakiwa kuwa.

  Kusema tu kuwa viongozi hao hawakuwa sahihi kumsema/kuisema serikali hadharani (hata kama kuna ya kusema) ni jambo ambalo linashangaza kwa msomi kama yeye. Anapingana na ukweli bila kusema ukweli halisi anaoujua yeye.

  Kila mtu anayo haki ya kutetea yanayofanywa na serikali kwa kusema ukweli halisi kama anavyoujua. Asipokuwa sahihi, atakosolewa. Si sahihi kumnyamazisha mtu, au kumtaka aseme kama unavyotaka wewe kusikia. Mbona mazuri yanaposemwa hakuna anaelalamika? Dr. Bana kama mchunguzi, angeweza kuelezea uchunguzi wake kuhusiana na serikali unavyoonyesha tofauti na kilichosemwa. Hiyo ingeweza kujibu na kutoa elimu kwa wanaotaka kuipata.
   
 16. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hawa REDET ndio walikuja na ile sera yao ya uchaguzi ya JK sasa wanataka kutuambia nini??????
  Tunawajua ni vibaraka wa JK wakiongozwa na Mkandala.Hawa wasomi walipaswa kuwa mstari wa mbele katika kuleta revolutionary ideas,yet ndio wanazidi kukandamiza hii nchi.
  Shame on you REDET.
   
 17. H

  Hume JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Mbona naye hajawafata hao waliosema akawaeleza makosa yao kwenye faragha, badala yake anayasemea kwenye vyombo vya habari?
  Haoni kuwa kama ni kosa naye kafanya lile lile?
   
 18. GY

  GY JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  MNF wangemsifia JK wala haya sijui ya audience yasingesemwa. Kwaiyo ukifanya utafiti wa kujua utendaji kazi wa raisi, matokea yakiwa chanya kwa upande wa raisi unayatangaza kwa umma, yakiwa hasi, unampelekea yeye kimyakimya au?

  Hii maana yake, forum yeyote inayotaka kuzungumzia hadharani mambo ya raisi na serikali yake shurti imsifie, vinginevyo ijadili kimyakimya?

  REDET wanapofanya utafiti wao na kutangaza sifa kemkem kwa serikali, utafiti huo unaisaidia nini serikali? unamsaidia nini mwananchi wa kawaida. Ni ujinga, ni upuuzi, ni kuiga visivyoigika, na ni kufanya yasiyo na tija kwa taifa.

  Hata wao REDET wanajua kuwa upo utafiti wao ambao ulionyesha kuwa utendaji wa serikali umeshuka mno na mawaziri kadhaa wa serikali waliupinga wakisema kwani hao REDET ni nani. Kwaiyo tunajua nini wanasiasa wanataka, na ukitaka wakupende, basi wasifie.

  In fact, kongamano la Nyerere halikuwa na lengo la kutangaza matokeo ya utafiti fulani, ilikuwa jukwaa la watu mbalimbali kutoa maoni yao huru kuhusu muelekeo wa kisiasa.

  Je REDET watuambie, hilo ni kosa? au watakuwa wamenena vema ikiwa tu nao watasema kama yale yasemwayo na viripoti uchwara vya REDET?
   
 19. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bana, naomba usome na kusikiliza vizuri hotuba za Mwalimu. Itakusaidia sana. Hakikisha pia hukosi kusikiliza Wosia wa Baba kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi kupitia TBC Taifa saa mbili na robo usiku.
   
 20. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2009
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi sioni tofauti ya REDET na mtabiri maarufu Shehe Yahya. Wao REDET wamesoma ilimu dunia Yahya anatumia matunguli.
   
Loading...