Watakula wapi watu wa RS. Sasa nanenane zinasimamiwa na watumishi toka ofisi za wakuu wa mikoa. Hawa jamaa hawana wanalofanya zaidi ya kugawana hayo mapato.
Mfano Sisi Wajasiliamali huku 88 ya Mbeya tunatozwa 1,000,000/= . Kuna siku niliingia kwenye kikao cha kwanza cha 88 hapo ofisi ya mkuu...
Sasa hapa kati yako na yeye nani anaonekana bwabwa? Acha ujuaji usio na maana na kuongea vitu vya ajabu mbele za watu.
Mzee yupo sawa, na watu wenye uelewa wameshaona huo upuuzi wa TFF na sasa hawafuatilii tena mpira wa Tanzania na ndio maana mahudhurio ya watu uwanjani ni machache sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.