Kwa upande wangu mimi binafsi naungana na uongozi wa Chadema kufukuza wale ambao niwasaliti,kwa mfano mtu anasema tatizo ni uenyekiti mimi napinga mtu kama anaona katiba inakiukwa sio kukimbilia kwenye media maana kuna taratibu zake,wakifukuzwa wanaleta maneno yasio natija,Chadema muda umekwisha...