Msajili wa vyama aombwa aifute CHADEMA

Msajili wa vyama aombwa aifute CHADEMA

Piiiiipoooooz.... Makamanda hakuna Kufanya Upuuuuuzi wa Kuchangamana na Wenye Dhambi za akina "Daudi Mwangosi" wa Iringa... WAMEUMIA SANA TENA SANA! Nani anao Ubavu wa Kuifuta Chadema?... Mnadhani Kuifuta CHADEMA ni 2kio Simple!...
 
Hivi kweli CHADEMA FAMILY mnaweza kutukana viongozi wa dini walioitisha mkutano ili kutafuta Amani arusha? kweli laana ya kuwa na viongozi wazinzi ( SLAA NA JOSEPHINE NA DJ MBOWE NA JOYCE MUKYA) inaiangamiza CHADEMA , shame on you watu msio na hofu na mungu.
Kapuya na dent, Mwigulu na aliomtoa mimb kule Igunga
 
Ndani ya viwanja vya stadium Arusha viongozi wa dini maaskofu mashekh na viongozi wa vyama vya siasa wametoa rai

Kwa msajili wa vyama aifute chadema kwani hawataki Amani nandiyo maana leo wameigome siku ya leo

michango ya lowasa inafanya kazi kweli''''''' makanisa ya siku ;;; hawo sijui kina lusekelo
 
Mwenyekiti wa CCM Arusha Ole Nangole kazomewa mbaya kwenye kongamano la amani Arusha alipoanza kumsifu RC Mulongo na meya Lyimo. Ilikuwa baada ya msajili jaji mutungi kufungua mkutano viongozi wa dini na vyama vya siasa walikuwa wanapewa dk 4 kusalimia ndipo ilipofika zamu ya ccm ole nangole akasisitiza umuhimu wa kulinda amani kwaa maendeleo akasema hata wakati wanasiasa tukizozana na kuandamana rc na meya walikuwa wanachapa kazi is mnaona barabara za lami kila mahali maji taa barabara zote watu waliokuwa wamekaa kulia kwa jukwaa wakaanza kuzomea kwa sauti ikabidi asiendelee ashukuru akarudisha kipaza sauti kwa mc
 
afadhari hii ndo njia ya kukomesha unafiki.
 
Magamba wamebakiza siku tuu wananchi wameshawachoka
 
viongozi wengi wa dini wana NJAA SANA , nimewadharau sana !
 
Chadema wao hawajapeleka timu uwanjani wao mkutano wao watafanyia kwa mtei.
 
Mwenyekiti wa CCM Arusha Ole Nangole kazomewa mbaya kwenye kongamano la amani Arusha alipoanza kumsifu RC Mulongo na meya Lyimo.
Arusha ccm haipo maana ina viongozi tu, haina wanachama, Arusha ni chadema na CUF
 
Back
Top Bottom