Arusha: Sasa kuna CHADEMA asili na CHADEMA family - "Lema ndiye tatizo kubwa" - Amani Salenga

chadema is always a one team, one product with the same standard. hatuna chadema vipande vipande kama lichama lenu ccm lipo vipande hamsini kidogo
 
Kwajinsi nilivyokusoma wewe ni CHADEMA family!
 
A+G.jpg

Soma bango hilo lililobebwa na mmoja wa wanachama wa CHADEMA akilionesha jana kwa waandishi wa habari(hawapo pichani). akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Amani salenga.

Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa M bunge wa Arusha Lema ndiye chanzi cha vurugu ndani ya CHADEMA Kwakuanzisha kikundi cha vijana kinachohatarisha maisha ya wale wanaopinga na mawazo ya Lema katika utendaji wa chama hapa Arusha.

Amani alisisitiza kuwa kwa kuwa CHADEMA sasa imeamua kufanya maamuzi kwa maslahi ya watu binafsi hususani swala la Viongozi waliovuuliwa vyeo vyao(zitto).Basi kila Mwanachadema tambue kuwa ndani ya chama hicho kuna block mbili(pande mbili)CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY).

Vijana hao waliokuwa na mabango mbalimbali wamekiri kuwa chama sasa kimefikia hatua mbaya kwa kuwa watu wanatimuliwatimuliwa tu kwa sababu zisizoeleweka na bila kufuata utaratibu wa katiba ya nchama.

Hivyo wanainga hatua ya Zitto kuvuliwa vyeo na wanasisitiza kuwa Lema ndiye tatizo ndani ya chadema kwa hizi choochoko zinazoendelea.

Lema kama hukwenda shule acha kusumbua watu na elimu zao.najuta kumpigia kura mbulula kama wwe.sitaacha kujilaumu
 
Ni kweli hao waliojitokeza na mabango ni vijana wa ccm mmoja wao ninamfahamu anakaa Majengo kwa jina anaitwa Dominiki ni mpuuzi fulani wa CCM pia aliwahi kusimama majukwaani akinadi CCM kata ya Elerai kipindi kilichopita cha uchaguzi mdogo wa madiwani, wanachadema wala msitetereke hao sio wenzetu, nia yao watuvuruge tuu.=Ben Saanane;7955812]Yaani kitendo cha Lema kumshinda yule Mama uchaguzi mkuu uliopita imekua nongwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu?Sasa ameamua kununua wahuni na kujiita wanachadema wanaopinga hatua za kinidhamu?[/QUOTE]
 
A+G.jpg

Soma bango hilo lililobebwa na mmoja wa wanachama wa CHADEMA akilionesha jana kwa waandishi wa habari(hawapo pichani). akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Amani salenga.

Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa M bunge wa Arusha Lema ndiye chanzi cha vurugu ndani ya CHADEMA Kwakuanzisha kikundi cha vijana kinachohatarisha maisha ya wale wanaopinga na mawazo ya Lema katika utendaji wa chama hapa Arusha.

Amani alisisitiza kuwa kwa kuwa CHADEMA sasa imeamua kufanya maamuzi kwa maslahi ya watu binafsi hususani swala la Viongozi waliovuuliwa vyeo vyao(zitto).Basi kila Mwanachadema tambue kuwa ndani ya chama hicho kuna block mbili(pande mbili)CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY).

Vijana hao waliokuwa na mabango mbalimbali wamekiri kuwa chama sasa kimefikia hatua mbaya kwa kuwa watu wanatimuliwatimuliwa tu kwa sababu zisizoeleweka na bila kufuata utaratibu wa katiba ya nchama.

Hivyo wanainga hatua ya Zitto kuvuliwa vyeo na wanasisitiza kuwa Lema ndiye tatizo ndani ya chadema kwa hizi choochoko zinazoendelea.
Naomba niseme kidogo kuna jamaa zangu wako A town wanasema juzi walikuwa kwenye mkutano na wanachama walikuwa wengi sana ila inavyo onekana kuna baadhi ya wasaliti wachache ambao wanataka kuharibu lakini hawataweza maana A town 85% ni Chadema kwahiyo wanajiangaisha tu.
 
Wanahaha bure hao kama hawamini kwamba chadema iko vizuri waitishishe uchaguzi waone, huyo aliyejiuzulu anajisumbua tu, anawaza kwenda ikulu na hataingia huko milele.

Unahabari ya magunia ya hela anayoleta Rostam kuja kumsaidia Lowassa apate urais?
 
A+G.jpg

Soma bango hilo lililobebwa na mmoja wa wanachama wa CHADEMA akilionesha jana kwa waandishi wa habari(hawapo pichani). akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Amani salenga.

Amani Salenga akiwa na kundi kubwa la vijana walikutana na waandishi wa habari na kudai kuwa M bunge wa Arusha Lema ndiye chanzi cha vurugu ndani ya CHADEMA Kwakuanzisha kikundi cha vijana kinachohatarisha maisha ya wale wanaopinga na mawazo ya Lema katika utendaji wa chama hapa Arusha.

Amani alisisitiza kuwa kwa kuwa CHADEMA sasa imeamua kufanya maamuzi kwa maslahi ya watu binafsi hususani swala la Viongozi waliovuuliwa vyeo vyao(zitto).Basi kila Mwanachadema tambue kuwa ndani ya chama hicho kuna block mbili(pande mbili)CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY).

Vijana hao waliokuwa na mabango mbalimbali wamekiri kuwa chama sasa kimefikia hatua mbaya kwa kuwa watu wanatimuliwatimuliwa tu kwa sababu zisizoeleweka na bila kufuata utaratibu wa katiba ya nchama.

Hivyo wanainga hatua ya Zitto kuvuliwa vyeo na wanasisitiza kuwa Lema ndiye tatizo ndani ya chadema kwa hizi choochoko zinazoendelea.
Hivi John Major, Ex Prime minister , UK ; Jacob Zuma, Current President, SA;Rashid Mfaume Kawawa, Ex PM, URT na wengine wengi wana/walikuwa na degree?
 
Ni kweli lema anafaa kubakia wa kupokea maagizo jinsi ya mambo yanavyobidi kufanyika. Inaelekea anatamani role ya falsafa kwenye cdm wakati darasa lake dogo.
 
Bango mlichoree ofisi za ccm halafu mnasema vijana wa chadema walioandamana na waandishi wa habari????
Hakuna kijana -------- Arusha atakayeandamana kwa mambo yasiyo ya msingi

Mods ondoeni huu upuuzi acheni kuidhalilisha Jf!!!

Hakuna source ya hii habari

mbona leo katimuliwa!?
 
Very funny, kwa lugha ya picha tu inajitosheleza kueleza huyo jamaa mwenye hilo karatasi ni wa wapi, na aliemtuma kama vile anamtizama mbele ya camera, jamani njaa hizi zitatuua..tuwe wazalendo kidogo.
 
Wewe si akili na matendo yako ni sawa na Lema ndiyo maana unasema hivyo,unajua watu waliozoea kushikishwa ukutu akili zao ni sawa,na zilikwishaharibika!!

Tafadhali mkuu usiwatukane watashindwa kukuelewa! nafahamu hapa kinachowafanya wachelewe kukubali ni imani walionayo ktka cdm, lakn muda utafika wataelewa! maranyingi hata kiongoz wa kanisa anapolisaliti kanisa waumini wake huchelea sana kuami na hivyo hua wa mwisho kuamin japo kiongoz wao anakua amesha jua nn kinaendele na matokeo yatakua nn!
 
chadema is always a one team, one product with the same standard. hatuna chadema vipande vipande kama lichama lenu ccm lipo vipande hamsini kidogo
Mkuu mzima.Nakumbuka sana ile thread yako moja tuu ilikuwa km bomb zaidi ya bomb la Arusha. MKuu km umeangalia vizuri ile video ya Arumeru unaweza jiuliza .Hao watu wanafuata nini ccm, km ni rushwa nadhani ulisikia vihela vya rushwa walivyokuwa wana baurgain na bado wengine wamedhulumiwa hata hicho kidogo walichoahidiwa .Hata wasanii akina wema sepetu nao walipigwa changa la macho. Cha kushangaza zaidi sijui km ccm wana akili timamu,hivi mtu ana cheap hivyo unaweza isifu nae au mweka ktk timu itakayokutana na vichwa km vya chadema?

Hivi CCM iaka yote hawajawahi jifunza kitu Lema anawafanyia hata waache jidanganya na kudanganya wajinga wao ambao Lema huwafanya Asusa dakika chache sana. Eti Lema ni kilaza. Kweli unaweza mtuma skari wako kwa mamba umwambie mamba ni mjinga unaweza ingiza kichwa kinywani kwake bila yeye kujua?
 
Hivi John Major, Ex Prime minister , UK ; Jacob Zuma, Current President, SA;Rashid Mfaume Kawawa, Ex PM, URT na wengine wengi wana/walikuwa na degree?
Tatizo CCM wamejitoa ufahamu, wanajifanya hawaoni maprof ktk baraza pale juu. Na ni maprof waliojitambua na kujua wanaweza ishi nje ya ccm bila shida.Waliobaki ktk taasisi wakijikomba na ccm hawajui ni vipi huo uprofessor wao wa mikakati unaweza wapa chakula nje ya ccm.
 
Back
Top Bottom