Jambo moja kwa hakika ni kutambua nafasi yako katika penzi kaa kumbuka kama ulifanya yote sahihi ili kumhifadhi na yeye je alitambua kuwa unafanya juhudi zozote kwa ajili ya penzi lake hata arudishe penzi kwako, kama la ujue
Hakua wako wala sio stahili yako zaidi kakuepushia makuu kama uchumba...
Safi sana mkuu kwa chapisho lako kitu Mh. Nana Akufo alichofanya nachelea kusema ni shujaa na mfano wa uongozi tunaouhitaji Afrika, ni karne ya 21 sasa ila tunaishi kama binadamu wa enzi za mawe za kati kama alivyoangazia Rais Nana ni zaidi/karibu miaka 60 sasa tangu nchi nyingi za Afrika...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli mtupu,
ubachela nikuskia njaa ndo kuanza kupika ni ngumu sana kwanza kwangu haijawahi kutokea napika sina njaa au unapika mchele kilo mbili ili uwe unapasha tu kila unaposkia njaa mboga nayo kama sio mchemsho wa nyama basi ni mayai...
Jumapili hii wakristo waafrika watakua kanisani wakiiombea israel ili hali kwa uchache wa wakristo israel ni negligible very few, nawasihi wafanye mambo ya maana kama kuwaombea walioanzisha ukristo (waroma)
Tukiacha hayo ndugu zanguni wabantu inabidi tujiandae kurudi kongo nyumbani maana...
Mipango yangu 2/5 nimeifanya japo imefeli ila sitachoka kujaribu hio mitatu iliobakia sijaitekeleza kosa kubwa ni kukosa adabu na fedha...natumai kuna watakao jifunza kutokana na makosa yangu...2018 naingia na kifutio kurekebisha makosa
Napenda nachokisoma kwenye huu uzi watu bila choyo wanatupa technique za maisha safi sana huu ndio undugu wa Afrika tunatakiwa kuwa nao tutafika mbali sana tukishirikiana hivi hivi bega kwa bega Kesho ni ya kwetu najua kuna wajinga wachache wanajaribu kuharibu uzi siwalaumu maana bado...
Kwamba watumishi wa Mungu daladala zimeundiwa wao, watoto wao tu ndo wakasome kayumba na shule za kata mikopo yenyewe chuo hawapewi, wasibadilishe mboga sio, binadamu bhana, mwingine anasema tumepewa neno bure mbona nanliuu mnatoa kwa hela si mlipewa bure pia, afterall religion is a lie.
Kabla hujaendelea kumhukumu tujiulize huo ukumbi kwenye hiyo mall ni wa gharama gani? Ye mwenyewe ana kazi gani nyingine inayomuingizia kipato kufanya maisha? Na watumishi waki roho wanatakiwa wawe na utajiri kiasi gani? Kama kumuamini Mungu ndo kila kitu kwani isiwe chanzo pia ya kujipatia...
Propaganda tu hizo ajali nyingi ni kutokana na uzembe angalia takwimu za ajali kwenye nchi zilizoendelea na nchi masikini utaona utofauti. Ifike mahali tuache kulaumu kila kitu ikiwa chanzo cha matatizo yetu ni sisi wenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.