Recent content by mzaramo halisi

  1. mzaramo halisi

    Tafsiri ya Telecommunications na Technology

    Telecommunications na Technology. Msaada kwa Anayejua tasfiri kwa kiswahili maneno haya Tunayahitaje?
  2. mzaramo halisi

    Tofauti kati ya wanawake wa udom na udsm

    Mbona za Udom zinakaribiana na za Mzumbe.
  3. mzaramo halisi

    Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

    Tabora boys. Imefulia we ulo wapi? na kilakara zamani sasa hivi sio sana. Halafu we umeandika kutokana na matokeo ya o-level. Kwa advance hapo zingine top ten haziingii. Mf. Kuna Dakawa, Marangali. N.k hizi zipo juu kuliko Tabora na Kilakala ambazo zinafunikwa hata na Ifakara girls
  4. mzaramo halisi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja Sumbawanga wilaya ya Kalambo.
  5. mzaramo halisi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wengine huko tukuyu kwao. tena atafurahi zaidi kurudi kwao. usidhanie kila mtu anaishobokea hiyo Dar.
  6. mzaramo halisi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    huko vijijini wengine ni kwao. na wanataka wawe kwao au karibu na kwao. hao wanaotaka mijini ndo wakimbia kwao eti wanaogopa kurogwa
  7. mzaramo halisi

    Katika HARAKATI zangu za kuopoa vimwana nikauvaa mkenge…!

    We ungemchukua chizi wako uishi nae. maana mda wote we ulimuona mzima. chizi akiwa kwao na akiwa kwako ni honey
  8. mzaramo halisi

    Ex pope Benedict says God told him to resign

    Mi nilisikakia papa AMESILIMU .ndo lengo la kung'atuka kwake
  9. mzaramo halisi

    Daah Ajira ngumu aisee!

    Tupe story man
  10. mzaramo halisi

    Vituo vya mabasi kutoka Dar kwenda mikoa mingine kujengwa Mbezi Luis na Basihaya (Tegeta)

    maana yake Ubungo tena itakuwa si sehemu ya makazi peke yake. bali biashara zaidi. kwani Posta wanakaa kabira gani? mbona hakuna wapemba wengi kwasababu ndipo wanaposhukia na kupanda meli. Yes Ubungo Tumezungukwa mitaani kote na Wachaga, Wahaya. Wapare. Watanga. Wairinga. Wasukuma.
  11. mzaramo halisi

    Vituo vya mabasi kutoka Dar kwenda mikoa mingine kujengwa Mbezi Luis na Basihaya (Tegeta)

    usinipe pole mimi wape pole wa huko mbali. Mi kwetu Ubungo. so mbezi kwangu sio mbali kiivyo. Nafurahi Ubungo yetu inazidi kupambwa tu. Watujengee hayo mahoteli na malls zaidi ya Mlimani City Mama Joe
Back
Top Bottom