acheni kudanganyana chuoni mbona kuna wasichana wengi wastaarabu tu sio kila msichana kaharibika wapo wanaofaa kuolewa kwani hao wanaofanya kazi maofisini si wametokea vyuo na wao mbona sasa mnawaoa?
Sina mbavu maji ya kudownload...! Nimeyatumia sana enz hzo kwa wale wasiyoyafahamu ni maji ya kuchemsha na majagi ya kichina, ila hayo maj yanachumv ni balaa hapo chuoni. Da kwel tembea uone udom kwa sana tu hata km una starlet yako unaweza wamilik ma she kibao mana weekend usafir unazingua kwa sana
mimi kwa maeneo ya dom hua nafikia kwa mshua kule area D karibu na Royal village, basi nikienda kudiba pale unawakuta watoto kibao wameenda kudiba, daah ilikua burudani sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.