Nyinyi munaojifanya wajuaji sana na kudhani muna elimu wacheni pumba zenu hapa.
Kama Rais kaweka watu bomu taratibu za kumuondoa raisi wa nchi nzima haziwezi kumalizika kwa watu wa Kigoma lakini juhudi za wa Kigoma zinatosha kumshawishi Rais aondoe viongozi bomu wa Kigoma.
Ina maana kila...
mama yangu na ndugu zangu walikuwa hawataki kwenda kupiga kura kwa kuwa wanaona CCM ni wezi lakini nimewashawishi wakakupe tu kura hata kama CCM watachakachua, we need to make if difficult kuchakachua.
Good luck Dr. Slaa!!
Wachangiaji munaopingwa huu mkwara wa vyeti munakosea.
Lazima muangalie audience ya huyu Kijana na mindset ha audience yake.
Hapo majority ya watu shule ndogo, ukileta karata ya shule utaweza kuonekana nabii.
hayo ya shule ni jambo moja na delivery ni something else ni hoja ya maana...
NIutafiti gani uliofanya ku prove hisia zako.
Unadhani ukienda TRA na kuangalia majina ya major tax payors utawaona akina Mengi tu, Bakhresa je. Ukienda Mlimani kuangalia waalimu hakuna akina Musa pale, ukienda kariakoo unadhani majority ya wamility ya yake majumba ni akina nani.
Hii...
Asante, wala riba wana options za kula riba ma wapinga riba wana products zao, sasa ugomvi wa nini?
Ama mumesahau Mzee Mwinyi alishasema 'kila mtu atakula alichokizoea' tulivyokuwa na vurugu za mabucha ya nguruwe.
Sielewi kwa nini hii kitu inakusumbua.
Kama wewe ni mkristo na ni ruksa kwako kunywa pombe na nguruwe hakuna anayekusumbua, kwa nini waislamu wakifuata utaratibu waliowekewa katika kuwekeza ikusumbue kama imani zako zinakuruhusu kula na kuchukua riba.
Bwana Yesu alifukuza watu kwenye temple si kwa kuwa alipinga biashara lakini kwa kuwa alikemea riba na aliowatimua walikuwa ni money lenders, mchezo wa riba umeanzishwa na mahayudi zamani sana, sio leo.
Mtume Muhammad (S.A.W) yeye alikuwa anatoa hutba ya Ijumaa na ikashuka caravan ya biashara...
Waache watanzania wachague mtu wanayemtaka hata kama wanataka kuchagua mtu kwa kuwa tu ana meno mazuri na meupe.
Mdahalo utawawezesha wale wanaivutiwa na nguvu za hoja kujionea wenyewe nani kapita kutokana na kichwa chake na nani kapita kwa kuwa ana good smile.
Mwanakijiji
Mdahalo wa namna hii utavutia watu wengi sana kwa hiyo itavutia sana wadhamini.
Kivutio kingine ni kwamba JF haifungamani na upande wowote kwa hiyo watazamaji watategemea objectivity.
Ninaamini if you come up with a budget ya kuendesha mdahalo na kutangaza nafasi za udhamini...
Wasiwasi wa bure tu.
Nji hii hakuna Wakristo safi ama Waislamu safi wa kutosha ambao wanaweza kuwa na agenda ya kujipendelea kwa hiyo siamini kama wapo wenye sifa za kuwa na agenda na kidini.
Kwanza dini zenyewe haziruhusu kujipendelea katika uongozi kwa mizingi ya dini.
kama kweli nchi...
Chama pekee chenye uwezo wa kutikisa na kung'oa CCM visiwani ni CUF, katika Muungni hakuna hata chama kinacjoweza kuapata hata 20%.
Bila ya alliance CCM lazima ipete na ndio maana wagombea wake wanasema hawajui chanzo cha umasikini na bado wanapeta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.