Elections 2010 Rais slaa huyoooooo

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Kumekucha.......Tazama attachment
 
Attachments

  • SLAA[1].JPG
    SLAA[1].JPG
    18.5 KB · Views: 273
Siku ikifika usije lia na kusaga meno tu!

Kama tumeweza kusalimika katika kilio na kusaga meno chini ya utawala wa kifisadi sidhani kama hiyo siku ikifika kutakuwa na ugumu zaidi.

Tumezowea kusikia prophets of doom kwani hata wakati tunapigania uhuru kuna wenzetu waliotaka uhuru ucheleweshe "kurekebisha mambo flani".Same people seem to be united against seeing Dkt Slaa in Ikulu.Good news is hata usiku uwe mrefu namna gani kutakucha tu.
 
Hadithi za kupigania uhuru na uchaguzi huu ni vitu viwili tofauti, yaani kama mchana na usiku... Havifanani hata chembe, watu wanaota ndoto za Ali Nacha, yaani wanaota mchana kweupe... Kwa ufupi wanajifariji ili siku ziende.
 
Kumekucha.......Tazama attachment

SLAA hawezi kuwa Rais wa nchi hii,kwa sababu muda (wakati) wa vyama vya upinzani kushika dola bado haujafika na hii ni kutokana na vyama hinyo kuwa na uchanga,ubinafsi ndani yake pamoja na dira butu.kutokana na matatizo hayo vinashindwa hata kuunganisha nguvu zao na kuweka mgombea mmoja wa urais.Si hivyo tu bali pia vimejikita sana maeneo ya mjini tu na kusahau maeneo ya vijijini.

Vyama vya upinzani kwa sasa vingejizatiti zaidi katika kuwania nafasi za ubunge na siyo urais kama Slaa na wenzake walivyoamua kufanya. Hivyo SLAA hawezi katika uchaguzi huu kushinda kiti cha urais.Utapoteza kura yako bure ,vyama vya upinzani bado havijajipanga vizuri,tuvipe muda zaidi ili viweze kujipanga.
 
Very impressed!! I can't wait to get hold of the party's manifest and attend my first public meeting since secondary school days.
 
Back
Top Bottom