Tanzania bila yesu aiwezekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania bila yesu aiwezekani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 13, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  Yawezekana tuko wengi tunafikiria lini tanzania itaondokana na umaskini ufisadi
  na matatizo mengi tu ya dunia hii...kwa hakika wapo wasomi waliotoa mawazo yao leo hii wakiabika akuna linaloendelea zaidi ya kutupiwa lawama..wapo wazee wa zamani waliamua kuvunja ukimya na kukataa kulindwa na serikali na kusema uchafu na uozo unaoendelea utatumaliza...lakini leo nawaambia tutapiga makelele yote kila sehemu kama serikali ikiongozwa na rais wao kikwete aitamrudia mungu na kukiri yesu ni bwana \

  kamwe tutarajie mengi mabaya na machafuhasa kipindi hiki wanapoenda kumalizia mlongo wao wakitumi chukua chako mapema........usikate tamaa zidi kuiombea ipo siku mungu atafungua njia
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mi nakwambia best hawa jamaa sijui wachezewe ngoma gani ili waelewe. Ni wizi mtupu mbaya zaidi bado sisi WaTz walowengi hatujakubali kufungua macho na kuona nchi inavyotafunwa ili tuchukue hatua!
   
 3. m

  mzanganyika JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 257
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  'Yesu ni bwana' maana yake ni nini?
   
 4. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa Tz bila Yesu Haiwezekani kivipi? Jamani tuache hizi siasa tuwe wakweli tatizo letu ni viongozi na mfumo wa uchumi tulio adopty,
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Hakika nakubaliana na wewe.
  Maisha bila Yesu ni Ubatili mtupu.
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,269
  Trophy Points: 280
  Amen!
   
 7. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ningependa ku-suggest wewe na mlete hii mada hapa ,mtafute kitabu kinaitwa

  100 FEMOUS PEOPLE IN THE WORLD.Mtunzi simkumbuki ila ni Mfaransa,ameelezea watu mia ambao kwa naman moja ama nyingine uwepo wao duniani basi maisha yangekua burudani na yangekua na mwongozo wa namna ya kipekee kiuchumi,tamaduni na jamii.sio Tanzania tu Duniani.
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Apr 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Mkuu nadhani umeenda mbali sana na ambako unatakiwa usiende kwa sababu ukiulizwa maswali magumu huna la kujibu.

  Ebu tueleze mafanikio ya USSR mpaka wakanusa superpower walikuwa wanaamini dini gani? njoo China na Japan elezea wanaabudu dini gani

  Usiishie hapo nenda the fastest growing city Dubai waulize kama Yesu wanamjua.

  YESU anabaki katika nafasi yake Kama YESU na aliposema utakula kwa jasho HE MEANT IT! KUNA laws of nature na kuna divine laws, kuna natural laws na supernatural laws! natural laws are within our power supernatural laws are God's(Jesus)

  Nashangaa umeipoint serikali ya JK wakati wasiomfahamu YESU na ambao hawajampokea wako makanisani humo humo , kuanzia RC mpaka kwa walokole! sijajua YESU yupi unayetamka wampokee YESU wa biblia au wa Tanzania.

  Be serious, Yesu wa biblia ni tofauti sana na wa Tanzania, sawa na Muhammad wa quran siye aliyepo Tanzania! we have our own unique religions!

  Strictily speaking kungekuwa na walio serious kabisa kumfuata Yesu wala usingekuwakumbusha watu wamfuate wala kumpokea wangeenda automatic!

  Ukisoma biblia yako utagundua we dont have akina Yohana mbatizaji, aliyekuwa tayari kukatwa kichwa kueleza ukweli, ungewaona akina Shadrack, Meshack na Abednego waliokuwa tayari kuchomwa kwa kusimamia ukweli! leo wachungaji karibu wote wamelala unataka akina JK waende huko huko nao wakalazwe usingizi.

  Kanisa la Tz liko kwenye serious problems

  Hao akina Malasusa wanashabikia uovu, akina Pengo wanaokaa meza moja na mafisadi, au wabishi kama akina Kakobe! you must be kidding! nyie jidannganyeni mna Yesu na vimajina vyenu vya kikristo wakati hamna sura kabisa ya lolote la kwenye biblia , churches are simply social clubs now adays, BIBLIA HAIFUATWI, unless ukinieleza kanisa gani Tz wanaifuata biblia.....

  Kanisa la Tanzania ni chafu, inabidi kujisafisha, upuuzi wa kufungisha ndoa za wajawazito na kudai mafungu ya kumi , na kuishi na mafisadi walio serikalini ni alama tosha ya kuwa this church is not serious and is not inviting!

  dont ask me read your bible!
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Maana yake Yesu ni BWANA. Ulitaka maana ipi?
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nadhani pdidy amefikia hoja hii baada ya ku consider points ulizo mention hapo juu mkuu wangu Waberoya. Your right boss wangu.
  Ni ukweli usiopingika kama kanisa halikujenga nchi na uchumi wake basi tumekwisha. Kanisa likiendelea kuwakumbatia mafisadi badala ya kuwaomba waingie kwenye toba basi pia tumekwisha.
  Ukiona viongozi wa kikristo wanacheza ngoma ya taifa la sisi m. twaisha yakhe!
  Ndio sababu taifa hili bila Yesu halitasogea popote.
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Apr 15, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Thanks for clarification tuko pamoja!
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Lakini iko siku vita itafumka hapa kwetu ...kila siku tunasema Tanzania ni nchi ya amani amani yenyewe iko wapi?
  Mungu atunusuru
   
Loading...