Waislam Kigoma wacharuka, hawamtaki RC

Pamoja na elimu yangu ya ngumbaru bila shaka ulichoandika hapo ni uchakachuaji wa lugha za watu!!!!!

Zubeda habari yako dada, Je wewe unaona kuna point yoyote ya watu kumkataa mtu sababu ya imani yake, hivi kwanini lakini tunataka kukaaribu haka ka-nchi ketu kazuri kenye amani, tuache hizo za kuchukiana, au wewe unasemaje?
 
Eti REV unajua huwa nafuatilia upupu wako humu ndani kuona maREV nao kama wanapoint ama vipi,kwa ufupi masanilo hiyo title unaitia aibu man ,kweli tena mtu amejaa pointless ajabu ,YOU MAKE ME VERY BORED rev yani unajiropokea tu.
Kwa mfano ubwabwa unaingiaje hapa HEBU LETA ARGUMENT ZA KISOMI BANA EBO

Acha upuuzi wako kijana! Upumbavu wawaislam ubwabwa hao kuna wengine kule kibakwe wamevunja bucha za mnyama wa taifa ! ujinga huo wa kukosa elimu!
 
Hivi wewe Mchungaji huna la kuandika ila upuuzi tu? mtu mzima ovyooooo!!!!!

Acha bange hizo unasifia hata ujinga wa hao waislamu ubwabwa kigoma? waunde basi serikali ya kiislamu itakuwa inawapa ubwa bwa kila Ijumaa ! Mawazo ya kijinga kabisa hayo lol
 
Acha upuuzi wako kijana! Upumbavu wawaislam ubwabwa hao kuna wengine kule kibakwe wamevunja bucha za mnyama wa taifa ! ujinga huo wa kukosa elimu!

Ok, Waislamu wanapenda kula ubwabwa hilo si tusi kwani ni chakula halali tena kitamu ile mbaya! sasa wewe Rev.Masanilo hivi nyie sio wale wenye kuchuna ngozi za binaadamu, au sio nyie wenye kukata viungo vya Albino kwa shughuli za kishirikina? au wale wenye kuua vikongwe kwa kuwa wana macho mekundu? angalia: Ubwabwa unaliwa sana ukanda wa Pwani kwenye Waislamu wengi! lakini kuchuna ngozi, mauaji ya Albino na vizee yanafanyika ktk mikoa wanaoishi watu wenye dini gani sijui!
 
Huna hoja wewe! leta kingine nyie wauza utu kwa ubwabwa
 
Mimi ninavyofahamu Kigoma inayotawaliwa na RC(Regional Commissioner) ni kubwa na sio Ujiji peke yake. Kuna maeneo ya Kagunga, Kasulu Mjini, vijiji vya Heru Juu, Kibondo n.k na huko kuna wakaazi wa dini zote tu kwa wingi ikiwemo Waislamu, Wakristo, Watambikaji n.k

Sasa hii thread ingefafanua kwa nini Waislamu wa Kigoma hawamtaki RC zaidi ya sababu ya mfumo wa 'Ukiristo' na 'U-Nyerereism?
 
Nyinyi munaojifanya wajuaji sana na kudhani muna elimu wacheni pumba zenu hapa.

Kama Rais kaweka watu bomu taratibu za kumuondoa raisi wa nchi nzima haziwezi kumalizika kwa watu wa Kigoma lakini juhudi za wa Kigoma zinatosha kumshawishi Rais aondoe viongozi bomu wa Kigoma.

Ina maana kila mkoa watu wasiporithika na RC jibu ni kumuondoa Rais? Kenge wakubwa nyinyi.

Kenge wakubwa nyinyi.Muna ota sana kwamba nyinyi ndio mumesoma , mumewahi kwenda TRA kuangalia ni nani walipa kodi wakupwa nchini na ni nani wanaomiliki maghorofa mengi zaidi zaidi na miradi mikubwa!!
 
Mchungaji masanilo leo umesexual molest watoto wangapi?na wanakwaya je?..bgup kwa kuwasambazia kondoo wa bwana mijiukimwi hahaha mtamalizana nyinyi wenyewe.
Au we ni GAY afu rev wa kike?HONGERA MAMA MCHUNGAJI MASANILO
 
Even a retard akifanya research atagundua nani wanalipa kodi zinazoendesha hii nchi,nani matranspoter na wamiliki wa viwanda na makampuni kibao na wanashika utajiri humu hapa tunasumbulia na watu waliojazwa serikalini wakila rushwa na kutumia kodi zetu ovyo HAWALIPI KODI na wanapenda kujidai usomi kumbe njanja yao
 
tena kama coincidence 'waislam hawa wa madrasa' wanadai juhudi zao ndo zilimng'oa mkoloni na elimu hiyo pungufu ndio iliomsaidia Nyerere kukubali ushauri wao na kuanza kuvaa suruali. yote yanayowakuta ni mfumo kristo. sasa wanataka ukombozi kwa mara ya pili!!!

Kama umekubaliana na hayo ingefaa uwaunge mkono wa wazi bila kificho.
 
Jamani tulipofika ni pabaya sana ndg zangu.. Haya matamko ya wenzangu waislam kila kona kivyake mradi wanapata access ya media si jambo zuri hata kidogo.. Ninavyofaham wakrist ndo wana madhehebu meng ila waislam yapo mawili tu, kwa maana ya kwamba islam can have only single statement on the matter, thru their mufti.. Bt to christians, smhw its imposible due to many denomination.. Despite many denominations, we dnt hear peace threatens statment frm wakristu ktoka kila kona ya nchi.. Tuvumiliane jamani.. Mapunguf yapo kila sehemu..

Kosa kubwa kalifanya JK.. Kutumia media ku'grab public attention in preachng udinism to weaken Chadema, that formely, wrongly referd 2 religion affiliation..

Tufumbuke macho ndg zangu.. Nchi hii hakuna udini, sote tunaishi pamoja vizr.. Hvyo visehemu vichache vya kimaslah vinavyotajwa ni mbinu chafu tu.. Ni sawa na uambiwe TAMWA kuna ubaguz wa jinsia, wamejaa wanawake.. Je huo ni ubaguzi?

Tukumbuke Somalia na Rwanda ilianza hv hv.. Hii nch ni tajiri kwa asili, haya yanayofanywa ni mbinu za western states kwa kutumia 'weakend and tamaa'd' leaderz km JK, kutuvuruga, watuuzie silaha tuuane ili waje kusomba mali zetu..

WAKE UP TANZANIANS.. WE WERE ONE, WE ARE ONE and WE'LL ALWAYS BE ONE..
Mungu bless us!
 
Mchana huu waislam wa Kigoma wametoa tamko kali kuhusu dhulma walizofanyiwa na wanaouita "mfumo Kristo". wamemlaani Nyerere na wote wanaoendeleza dhulma. Nimeambiwa redio Imaan ilirusha matangazo laivu wakimtaka Rais Jk awafukuze kazi Mkuu wa mkoa, ma dc wa wilaya zote za kigoma. kwa wale waliolipata kwa ukamilifu tafadhali tumwagieni data

kituukikipatiya uzeeni matatizo hiyoledio tutasikiya kira tamuko
 
Poleni sana kwa kushindwa kuijua vizuri Kigoma - Ujiji. Mnabishana kuhusu udini na kutoleana kejeri lakini mngefahamu tabia za watu wa Ujiji msingefanya hayo yote. Nawapa pole wote kuanzia Zubeda, Rev. Masalio, Elungata n.k

Ndugu zangu uislam ni taasisi iliyo na misingi yake ila watu wa Ujiji hawaifuati wala kuijua tena ni wanafiki sana. Ukristo pia ni taasisi yenye misingi yake. Hakuna mzuri kuliko mwingine. Kigoma ujiji ni miongoni mwa maeneo duni sana kupita kiasi mkoani Kigoma. Watu awafanyi kazi wala kusoma. Waacheni msiangaike nao!!! Hawa siyo waislam na wala siyo wakristo - Wapo wapo tu!! Misingi ya kiislam ni kufanyakazi kwa bidii na kusoma kwa juhudi zote kama mtume Mohamad alivyoagiza katika hadithi zake lakini hawa wenzetu wa ujiji hawatimizi maagizo hayo.

Sisi ni great Thinkers, naomba tuachane nao!!!
 
Mchana huu waislam wa Kigoma wametoa tamko kali kuhusu dhulma walizofanyiwa na wanaouita "mfumo Kristo". wamemlaani Nyerere na wote wanaoendeleza dhulma. Nimeambiwa redio Imaan ilirusha matangazo laivu wakimtaka Rais Jk awafukuze kazi Mkuu wa mkoa, ma dc wa wilaya zote za kigoma. kwa wale waliolipata kwa ukamilifu tafadhali tumwagieni data

vipi tena waislamu mbona tunajitia aibu,ni watu wachache tu wanaotualibia mambo!lini tutabadilika?kwa kweli tunatia aibu!
 
Mchana huu waislam wa Kigoma wametoa tamko kali kuhusu dhulma walizofanyiwa na wanaouita "mfumo Kristo". wamemlaani Nyerere na wote wanaoendeleza dhulma. Nimeambiwa redio Imaan ilirusha matangazo laivu wakimtaka Rais Jk awafukuze kazi Mkuu wa mkoa, ma dc wa wilaya zote za kigoma. kwa wale waliolipata kwa ukamilifu tafadhali tumwagieni data

Wehu huwa wapo katika dini zote au tuseme wehu wanaweza kuitumia dini yoyote ile ila challenge waliyo nayo waislam ni namna ya kuwazuia wehu ambao kila mara wanatumia dini ya kiislam bila ya waislam wenyewe kutaka, na hivyo kuudhalilisha uislam wenyewe hata wengine wakafikiria kuwa uislam unaunga mkono wehu kama huu.
 
Lazima wamelishwa ubwabwa kwa maharage, tende, kahawa na kashata. Ndiyo shida yao hao! Hawana jingine.
 
Ocampo naomba uje ufanye uchunguzi nani ka spread hichi ki-cancer cha udini tz .of coz tunamjua ila tunataka officially ajulikane .Hivi moslemz mngepata redio yenye coverage mapema ingekuaje? coz u're frigile by nature.
 
Matunda ya mbegu za udini ambao JK ni mwasisi wake yameanza kuonekana..............JK asijivunge aingie shambani akayavune..................
 
Back
Top Bottom