To all Investors in Tanzania "Get out of Tanzania and Go F@#% Yourselves"! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To all Investors in Tanzania "Get out of Tanzania and Go F@#% Yourselves"!

Discussion in 'Great Thinkers' started by Rev. Kishoka, Apr 29, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Yes Mchungaji knows how to curse and can drop an F bomb in a second and all will be blessed.

  Yes I tell it to all the investors who are expoliting Tanzania and look for concesions, free tax, free duty and under 10% royalties, they can go to hell, F#$% themselves and leave us with our un tapped natural resources, we are in no hurry, we have other alternatives to survive!
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,392
  Trophy Points: 280
  The most concise, radical, straightforward, bold and unambiguously clear message sent!! ubarikiwe mchungaji!!
   
 3. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Amani iwe nawe pia, vipi mzee mbona leo umekasirika sana, but it is true ni bora kubaki na dhahabu yetu ardhini kwa miaka 100 kuliko kuachiwa mashimo na wawekezaji feki, tuko pamoja ila punguza hasira.
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  I am on the same opinion no one needs them if they want to remain in this country they will need to change their mind set,we are tired of them,they are exploiting our wealthy for nothing,leave us alone the soo called mining investors the great exploiters your days have come to an end ,we havent benefited from your existance go go go and leave our minerals you are not better of,
   
 5. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa washenzi kabisa, kwanza yanakuja na kujitajirisha kupita kiasi, pili tukianza kubadilisha mambo ili nasi tuanze kuneemeka, yanaleta vitisho. They can go to hell, watuachie dhahabu, almasi, na maliasili yetu, tutajikokota mpaka tuweze kuzalisha wenyewe!

  Tena ngoja, nitaandika makala chafu sana na kuhakikisha inachapwa nyumbani na kusambazwa kwa kila Mwananchi.

  Tulisema tumechoka kunyanyaswa, kuonewa, kudhalilishwa na kufanywa wanyonge, sasa ni wakati Wananchi wajichukulie hatua mikononi na kuwafukulizia mbali hawa wajinga na kama mtu yeyote Serikalini au kwenye mfumo wa Uongozi wa Tanzania atasimama eti kidete kutetea maslahi ya Mwekezaji, na anyongwe hadharani huku akikatwa vipande vipande taratibu kabla ya mauti kumchukua!
   
 6. Kiwalani

  Kiwalani Senior Member

  #6
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mchungaji acha hasira .... lakini well, I guess hiyo ni njia nzuri ya kutoa frustrations tulizo nazo ... BUT, what about watanzania viongozi waluiosaini hii mikataba .... tuna wafanya nini hawa????!!!! .... maana frankly hawa ndiyo tunatakiwa ku-deal nao hasa!
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Tafuteni mizania (balance sheet) ya Barrick, Tanzania Royalties, na makampuni mengine hata Mechmar-IPTL na wengineo, mtagundua siku walipofika Tanzania, ndipo walipoanza kunona tena kwa kuvimbiana.

  Sasa kama wao walikuja hoi bin taabani kama Mechmar-IPTL, wakaanza kuneemeka na kunona, iweje sisi tuadhirikie tukiwafukuzia mbali?

  Onyo kwa Wanasiasa na Viongozi waSerikali, "Tumeridhika na uhalisi wa Umasikini wetu, hatuhitaji Mwekezaji atunusuru"!
   
 8. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180

  Hata Bwana Yesu (na nina uhakika hata Mtume Muhamad) alikasirika alipokuwa Wachuuzi na Wafanyabiashara wamegeuza Hekalu kuwa soko na kujifanyia biashara!
   
 9. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Umesikia Mining companies kina Barrick wamepinga kuongezwa kwa royalties kutoka 3% hadi 4% eti ni kukimbiza wawekezaji wa nje, this is very pity. Tatizo kina Ole Naiko wa TIC ndio wabaya wetu wanatuchekea eti wanatutafutia wawekezaji kumbe ni wezi watupu, kuna siku moja itafika tutapata kiongozi kichaa kwa maana ya mzalendo watajikuta wapo pale kisutu hata kama wakati huo ni wazee wa kutembelea mkongojo tutawabeba waje kujibu madhambi yao hawana kinga wale.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Apr 29, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  This is what I call keeping it 100!
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,392
  Trophy Points: 280
  true .. like keeping it real in the style of Dave Chappelle!
   
 12. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 765
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 180

  Andika kwanza,chapa, sambaza ndio uongee. "Tena ngoja" hatutaki, tunataka hatua, sio ahadi.
   
 13. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #13
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Daa umennikuna Rev..Waende zao nyumbani kwao to hell
   
 14. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  That is 100% Pure.
  And let me tell you, if we won,t act or react witha sense of urgecy toward the acts of these stupid leaders we have in power, it will cost our us.
  I will stand strong to serve my country for there I know GOD want me to do it STRONG
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Mchungaji waumini wako hawasikii maneno yako yenye hekima!!! Utafikiri vichwani kumejazwa pamba badala ya ubongo maana wako kwenye mapumziko ya kufikiri. Wanawaota wawekezaji tu ambao kusema kweli wamewawekeza haswaaa!!! Hawana lolote la kutusaidia wanatusikitisha tu kila siku iendayo kwa muumba!!!!!
   
 16. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2010
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  I think we should start with these so called leaders who don't know what they are doing or I should say that they pocket national resource at the expense of wananchi.
   
 17. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza, uwekezaji katika mali asili na madini unachangia asilimia ngapi ya bajeti? kama wasingekuwepo hao mabeberu (wawekezaji) bajeti yetu ingeadhirika katika lipi?
   
 18. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Let's not also forget the people who invite them in the first place and grant them "concesions, free tax, free duty and under 10% royalties".
   
 19. m

  mzanganyika JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 257
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bwana Yesu alifukuza watu kwenye temple si kwa kuwa alipinga biashara lakini kwa kuwa alikemea riba na aliowatimua walikuwa ni money lenders, mchezo wa riba umeanzishwa na mahayudi zamani sana, sio leo.

  Mtume Muhammad (S.A.W) yeye alikuwa anatoa hutba ya Ijumaa na ikashuka caravan ya biashara, waumini wengi wakatoka ndani ya msikiti kwenda kwenye caravan, hapo ndipo aya ya Quran ikashuka inayosema ukifika wakati wa swala ya ijumaa ikifikaa funga biashara, kaabudu na baada ya sala katafute rizki.

  Mchungaji, mimi sina uhakika kama una attack tatizo ama sympton ya tatizo. Hawa wawekezaji usiowataka (sympton) ni matokeo ya wanasiasa kutaka 10% (cause) katika kuuza nchi under the disguise ya uwekezaji. Uozo ni Serikali inayonuka rushwa na ubinafsi.

  Tulimwambia Mkapa usiuze NBC akasema 'mwenye milioni ...basi aje tumuuzie'. He did not make any efforts to mobilize and help us tuchangishane ili tununue hisa na iwe mikononi mwetu. Huo ni mfano mmoja tu, tena wale jamaa makaburu wa NBC hawakuja hata na mitaji yao, walichofanya ni kukusanya madeni na kutumia mapato ya madeni kulipa Serikali. Ni sawa na wewe unakabidhiwa biashara, unauza baadhi ya mali na kumlipa aliyekuuzia hiyo biashara kutokana na fedha za kuuza baadhi ya mali. Ni mchezo mchafu kabisa ulifanyika NBC.

  Watu wamemsahau Mungu na kusahau kwamba kuna judgement day, matokeo ndio hayo!!
   
 20. A

  Alpha JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  The problem is not the investors the problem is our so called "leaders". They are the ones who have allowed this nonsense to continue for years. It seems now Africans are beginning to wake up but it might be too late.

  http://af.reuters.com/article/investingNews/idAFJOE63S0EQ20100429?pageNumber=2&virtualBrandChannel=0
   
Loading...