Recent content by Mzalendowetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mbegu ya muhogo aina ya kiroba Inahitajika

    Ninahitaji mbegu ya mihogo aina ya kiroba. Shamba langu lipo Kibaha Soga. Mwenye taarifa ya upatikanaji wa mbegu hii naomba anifahamishe au anipatie mawasiliano ya muhusika. Natanguliza shukrani zangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Kienyeji kwa Kitoeo

    Kuku wenye umri wa miezi 7 kwa ajili ya kitoeo wanauzwa. Jumla wapo 70 ambao ni majogoo tupu. Bei ni sh. 15,000/= kwa mmoja. Wapo Morogoro ila kwa mtu wa D'Salaam anayehitaji, ataletewa siku moja baada ya kutoa order. Kwa anayehitahitaji ni-pm
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu ya mihogo(Kiroba)

    Huku mtaani kuna mbegu feki za kiroba. Umakini unahitajika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Samatta azidi kutisha huko Belgium

    Tukiwa tunampongeza Samatta kwa kuiwakilisha vyema Tanzania, umefika wakati sasa wa tuwe wazalendo na kusifia na kutangaza zaidi vya kwetu. Ifike wakati sasa, hata kwenye magazeti ya michezo kama mwanaspoti, dimba n.k kuwe ni msimamo wa league kuu ya ubelgiji kuliko kuwa na EPL, Laliga nk pekee...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wa Kienyeji Kuroiler F1 Wanahitajika

    Habari wana-JF, Ninahitaji vifaranga wa kuku wa kienyeji aina ya kuroiler F1. Kuna watu wamekuwa wakiuza kuku hao lakini si wale F1 bali wamekuwa ni mzao wa mbali sana kiasi cha kupoteza ile originality yake. Mwenye nao, tuwasiliane
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afuta sherehe za maazimisho ya siku ya UKIMWI, fedha zinunue dawa...

    Nijuavyo ni kwamba, siku ya UKIMWI ni tarehe 1 December ila siku hiyo huwa inatanguliwa na maadhimisho ya wiki nzima ambapo huduma mbalimbali ikiwemo upimaji wa virusi hutolewa. Nimesoma magazeti ya leo, maadhimisho yamezinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Singida. Sasa kama, yameshazinduliwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Royco cubes linakera

    Nimekuwa nikisikia kupitia redio, tangazo linalohusu royco cubes. Tangazo hili linafananisha royco cubes na nyama, kwamba ukitumia royco cubes kuweka kwenye mboga za majani, ladha ya mboga hizo inabadilika na kuwa ni kama ya nyama. Kwa mtazamo wangu, ladha ya mboga ya majani inabaki palepale...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Meza inauzwa bei ya kutupwa

    Weka bei hiyo ya kutupa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mshauri wa Ujenzi wa Bwawa la Samaki

    Habari wana JF, Nina mpango wa kufuga samaki kwa matumizi binafsi (chakula nyumbani). Samaki hao ninataka kuwafuga katika eneo ninaloishi. Hivyo, ninaomba yeyote anayefahamu mtu anayeweza kuwa mshauri mzuri wa ujenzi wa bwawa la samaki, naomba aniunganishe naye
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Milango ya Bati na Fundi Urembo

    0653 848404/ 0684593310 Fundi Urembo. Anapatikana Dar es Salaam
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naachia frem mitaa ya Makuburi Ubungo

    Weka bei, sio kila mtu atapenda kupoteza vocha kwa kuuliza kitu asichoweza kununua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto Wangu Amemeza Sarafu ya Sh 50

    Wana JF, muda mfupi uliopita mtoto wangu wa miaka minne amemeza sarafu ya sh 50. Hasemi kama anapata maumivu yoyote. Nifanyaye kumsaidia?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Waliopitia Dakawa High. School

    Dakawa High. School ni moja kati ya shule nilizopitia ambazo daima nitazikumbuka. Ebu tujikumbushe yafuatayo: 1. Kijame: Huyu alikuwa ni headmaster ambaye alijenga nidhamu kubwa kwa wanafunzi na walimu pia 2. Walimu : Hamis, Mlyuka, Makuka, Kasembe, Madam Minja, Mrema, Seimu n.k 3. Babu Mhina...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma Ifakara sekondari

    JF imenikumbusha mbali sana, Nyerere, Castro, Lumumba na Nkrumah. Yuko wapo Discipline Master Mwl. Ngowi, Masesa, Makita, Ngonyani, Matola, Julius, Katawa, Ishengoma, Ruhiye, Kunambi a.k.a Ponsi n.k. Nilikuwa pale kati ya miaka ya 1994 na 1997, nakumbuka kunji lililotokea mwaka 1994 ambapo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Namba ya Mawasiliano ya Simu ya Zembwela

    Ahsante sana mkuu
Back
Top Bottom