Recent content by MZALENDOWAKWELIKWELI

  1. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Msaada kutoka Brela

    Ulishapata solution mtaalam? Kama bado tupigie 0743640640 kwa huduma za usajili wa biashara/kampuni/ https://sinnovate.co.tz/upload/company_profile/sinnovate.1797840702086144.pdf Mimi ni Tax consultant. Nipigie 0743640640 tukusaidie. Pia kwa huduma za utunzaji wa nyaraka za fedha kwa ajili ya...
  2. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Taji Liundi: Mama alitunywesha sumu mimi na wadogo zangu watatu

    Mke wa Taji Liundi aliwahi kufanya mahojiano na Diva the baus.... anaitwa nani? Na Instagram account? Anayejua tafadhali
  3. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kinyakyusa hapa

    Hii ni bhulebhulee... Sio burebure ila maana yake sijui
  4. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Clouds FM mnaboa

    Soma uzi btn words, "hatukatai matangazo ya biashara, hoja ni kero ya matangazo kuzidi viwango vya kawaida". Wasikilizaji tukiikimbia hata hiyo laki 2 watakosa. They should balance.
  5. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Clouds FM mnaboa

    Hatukatai kurusha matangazo ya biashara, kinachoboa ni bandika bandua ya matangazo tu mwanzo mwisho for a long long time. Kinachoboa zaidi tangazo lilelile ulilolisikia sekunde iliyopita, unalisikia tena baada sekunde chache, as if wasikilizaji ni viziwi na wasahaulifu kila baada ya sekunde...
  6. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika muhtasari wa kikao cha familia cha kifo

    Naomba anayejua ofisi au mwanasheria anayefanya kazi za kufuatilia haya maswala kwa niaba ya mtu mwingine
  7. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa Kichina na Kiingereza

    Natafuta mwalimu wa kichina na Kiingereza afundishe wanangu nyumbani. mbweni Dar. Inbox for more details
  8. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Kwanini kusiwe na mshindani wa NHIF? Kiukweli wanachofanya ni dhuluma

    Sikulaumu kwa uelewa wa kujua hali halisi ya namna Mfuko unavyoelemewa na madai ya mahospitali yanayolipwa na NHIF pindi wewe na wachangiaji wengine mnapoenda kutibiwa... Ninayeweza kumlaumu ni mtunga mitaala ya elimu zetu kutoweka topic za masuala ya bima ili kila aliyehitimu angekuwa na...
  9. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Kwanini kusiwe na mshindani wa NHIF? Kiukweli wanachofanya ni dhuluma

    Sikuombei but siku ikifika zamu yako kuumwa ugonjwa mkubwa ambao gharama zake ni mara kumi au zaidi ya ulichochangia wewe na mwenza wako ndipo utabaini kumbe bima sio wizi
  10. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, BoT wamefanyaje kuifanya Tsh. kuwa stable against USD?

    Acha uongo.... Tanzania tunatumia free market forces kudetermin exchange rate, kilichotokea ni udhibiti wa uuzaji wa fedha za kigeni kiholela...ufisadi uliopindukia ulikithiri kwenye beaural de change, walikuwa wanatengeneza scarcity ya makusudi ili bei ipande watengeneze faida kubwa. Upandaji...
  11. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania NAUZA MTUNGI WA GAS SAIZI YA KATI 15KG ORXY UPO MAKUMBUSHO

    kwema? una mtungi wa 38kg?
  12. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Anayeuza mitungi mitupu ya gesi tuwasiliane

    Niko dar. Unayo? Nicheki 0767555147 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Huduma ya CHINA POST FREE SHIPPING TO TANZANIA

    Kiongozi, ukitumia China Post, mzigo wako ukifika, je kuna extra charges zozote say kodi au any other charges? Na je wana ofisi hapa Bongo? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. MZALENDOWAKWELIKWELI

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya asili ya kuondoa gesi tumboni?

    Kwema kiongozi? Ulishapata dawa? Hasa huo mkongoraa?
Back
Top Bottom