Pole sana brother na mimi yamenikuta kama yako.
Yan nimefukuzwa nyumbani mimi na mdogo wangu maana tukikaa nyumban tuna mkwaza mama wa kambo. Haya maisha yasikie tu kwa mwenzako ila omba yasikukute.
Yan mama wa kambo kamshika mzee haelewi chochote.
Na hii migogoro chanzo chake huwa ni mambo ya...
Nikiri kwamba mm ni kada mtiifu wa chama cha mapinduzi na nampa support raisi wangu achaguliwe kipindi cha pili 2020 - 2025 ila nashangaa ukimya wa baadhi ya viongozi wa ccm mikoani na wilayani wanashindwa kujib hoja za wapinzani. Hatupaswi kumuachia Magufuli ajinadi peke yake na ajibu hoja peke...
za wakati huu wadau,nimemaliza bachelor degree na ningependa kuendelea na masomo ya masters marekani naomba kama kuna mtu ana fahamu minimum GPA inayo hitajika kwa sisi wabongo ili kusoma masters marekani anijuze. pia ni jinsi gani GPA za tz hubadilishwa kupata gpa za marekani?
Ubungo president bunge lilikua sahihi kurudisha hizo pesa otherwise xingeliwa na wabunge tu. Pia bunge halina uhalali wa kutatua shida za wananchi na pale wanapo fanya hivo wanatoa kama michango.pia kama pesa imetengwa kwa safar za nje.kama wameshindwa kwenda nje wana paswa kurudisha pesa na sio...
Wewe tumaini wewe mtu akiongea ukweli kuhusu walio kula hela za richmond ametukana mamlaka za juu?
Lowasa kamnunua nani?
Wewe kama umenunuliwa sio kila mtu kanunuliwa hizo siasa za kitoto hazina nafasi sasa hv
NIA YA WAZI YA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA
Na: Baraka Omari
Mimi Baraka Omari kijana mzalendo wa kitanzania niliyezaliwa takribani miaka 27 iliyopita na mkazi wa Tabata segerea jimbo la segerea nimefikia uamuzi wa kuchukua form ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.