Recent content by Mzalendo Mkuu

  1. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania LINDI: Viongozi wa Chama cha Msingi cha Pangatena waongeza mchanga kwenye magunia ya Korosho

    Hao ni wa kuwafunga haraka sana ili iwe fundisho kwa wenzao.
  2. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    Wote tunashauriwa KUPAMBANA NA HALI ZETU.
  3. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge mpya wa CUF, Hindu Mwenda afariki dunia

    Poleni sana Wafiwa wote.
  4. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

    Shida ya Wachezaji bora hupigana na wakati uliopo. Wahenga Wangesema: Pondamali, Mkambi na Sunday Manara nk. Hawa walikuwa juu sana wakati wao. Kwa Wahenga wa kati wangekuambia ni Lunyamila, Chambua na Kizota nk. Kwa Vijana wangekuambia Kanavaro, Ngasa na Msuva nk. Hivyo inategemea wewe...
  5. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Clouds FM: Match ya Yanga na Lipuli mnajikanyaga nini wakati ni wazi Yanga SC amebebwa

    Kwani siku hizi matomeo ya mpira yanamuwa moderated na Clouds Fm? Wao ni nani kwenye mpira wa Tanzania mpaka usubiri Tangazo lao,? Shida yenu Simba ni ileile kuamini kuwa mtashinda ligi kwa mechi moja. Mfumo huu wa matumaini ni mzuri sana hasa kama mtakuwa mnaupeleka mahospitalini ili kutoa...
  6. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Simba inafikiria kugomea kupeleka timu siku ya ngao ya hisani

    Lazima wakimbie tu maana siku hizi ni watu wa sababu. Hebu fikiria kiongozi anasema TFF viongozi ni kabila MOJA. Kiongozi kama huyo atakosa kugomea mechi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Witness naona kaanza kufata nyendo za Gigy na Amber Lulu

    Ila mguu anao[emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Nijuavyo tangu zama za kale ya ustaarabu huko Ulaya na Marekani Wanasheria huitwa kwa Utani THE LEARNED BROTHERS/SISTERS. Hii imechangiwa pia na nguvu na mbwembwe anazokuwa nazo Hakimu au Wakili pale mahakamani. Dhana hii ya learned ndiyo miaka ya karibuni imetoholewa na kuwa WAKILI MSOMI.
  9. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Upweke! Chanzo kikubwa cha ushirikina

    Confussion
  10. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji Hajui Kuandika Mkataba Atauelewa kweli?

    Kwenye hii mikataba ya uswahilini huwa ni combination ya sign na dole gumba. Ndiyo common practice.
  11. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

    Jamani huu mpira wa KUBEBANA SIYO POA. Nampongeza Refa kwa kuifanya Simba isidharirike.
  12. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA aipongeza Yanga FC kwa kubeba kombe la VPL

    Kawakomoa
  13. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA aipongeza Yanga FC kwa kubeba kombe la VPL

    Lakini viongozi wetu ni TATIZO. Yaani Yanga na Simba zinavyotumia fedha nyingi kwenye wachezaji wa nje ni AIBU. Bora Yanga wanaibiwa na kombe wanabeba kuliko hao wenzao
  14. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA aipongeza Yanga FC kwa kubeba kombe la VPL

    [emoji12] [emoji12]
  15. Mzalendo Mkuu

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Then Europa is holly as far as you be going to Jerusalem[emoji16]
Back
Top Bottom