Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

ah mbao wameonewa Ile sio penalt kabisa hawa marefa sijui wanawaokota wapi.Hawa wanadumaza soka letu bullshit!
Acha ushabiki wewe, sio penati kivipi? Hivi inawezekana mpira ambao uliguswa ukiwa na uelekeo wa kimo cha mbuzi ukielekea nje ghafla ukatua mguuni? Uligonga mkono ndo maana ulishuka mguuni.
 
Goli la mbao lilikuwa clear off side mbona wengi wapo kimya kwa hilo? Tena waamuzi walitofautiana kwa walio fuatilia mpira huo na uwanja haukuwa kwenye kiwango, maamuzi ya Tff hayakuwa sahihi fainali kuchezwa hapo. Na marejeo yanaonyesha mchezaji wa mwisho wa mbao alishika mpira kabla ya ku clear illa muda ulikuwa mbaya ndio maana waliona sio penalt halali. Illa kiwango cha mpira uliochezwa Simba walistahili kuwa mabingwa japo sio wazuri sana. Illa mbao walikamia ule mchezo hawana kiwango kizuri zaidi ya stamina tu. Hongera kwa wote.
 
Bora lefa umesaidia kutubeba maana sisi ni wA matopen na tulikuwa tumekwama hongera lefa umetubeba lakin hatujashinda kwa halal
 
Kwa kweli ndio maana timu zetu huwa hazifiki mbali kwenye michuano ya kimataifa kwa sababu zinafuzu kwa kubebwabebwa tu. Angalia penalti waliopewa simba hivi kweli ni penalti halali?
Hizo timu zilizokuwa zinaenda kihalali, kuna kipi cha maana walichokifanya?!
 
Walitaka refa aamue kinyume wakati mpira umeshikwa. Hawezitokea simba ishinde yanga waridhike. Sasa tutaona yupi ni bingwa halali kwenye mechi za kimataifa.
 
d0fe216a3cee220b457b4dc872239001.jpg
Fake..!
 
Tutatumiaje Tennis mkuu!

Sisi ni wapambanaji Uwanjani?

Nasikia Barua yenu kutoka FIFA Imewasili mchana huu..Ingia mitandaoni uione.
Ndala niaje.. Nasikia mmepewa barua fake kutoka FIFA

Ntalia sana
 
Sisi tutapanda na kufanya vzr, sio nyie kila mkitia mguu out...
Rage hakukosea, huo ndio umbumbumbu wa mashabiki wa Simba. Hivi ni vizuri gani mlivyowahi kufanya nje ya hii nchi nyie RUFAA FC?

Yanga ndio timu pekee ya Tanganyika iliyowahi kupanda ndege na kombe. Simba ni mdomo tu na porojo kama muuza kashata.
 
Back
Top Bottom