Upweke! Chanzo kikubwa cha ushirikina

Upweke! Chanzo kikubwa cha ushirikina

Hivi Mkuu"Mshana Jr," kuna siri gani kati yako na uchawi na uganga? Maana duh![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji102] [emoji102]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Aisee wewe unatoa siri zao watakuroga hao

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hawawezi hawaniwezi

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
mshana jr wacha uwongo, huyu si Amba Lulu huyu jamani? Hapa hajapaka uchafu wa kujitakia (make ups)...nafikiri hiii ilikuwa shooting ya video yake mpya.
Ukiuelewa mfumo wangu wa kuweka picha hutakaa uniite muongo

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Ukimuona mshana jr usiku mwingine humu basi ujue anasubiri saa zake za kwenda kuwanga au ndiyo karudi kutoka kwa wanga wenzie.
[emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni mara chache mno kukuta mtu anayemiliki mali hata za kawaida kabisa kuwa mchawi ama mwanga! Huyu ni kwa kuwa tayari ana MBADALA!
Kama isingekuwa JF na mitandao mingine wengi SAA hii wangekuwa kwenye mapaa ya watu wakiwanga[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23][/QUOTE]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji274]
 
Duh....kwani kupendwa lazima?

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji2] [emoji144]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana Mkuu.

Kuna siku nilileta post Moja inayosema.
SINGLE MAMA NA HATARI YA KUWA WACHAWI.

Nadhani inaeleweka sasa

Sent from my Galaxy Nexus using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana Mkuu.

Kuna siku nilileta post Moja inayosema.
SINGLE MAMA NA HATARI YA KUWA WACHAWI.

Nadhani inaeleweka sasa

Sent from my Galaxy Nexus using JamiiForums mobile app
Naikumbuka vizuri sana

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
ukiondokea kufatilia mada za mshana utajikuta tayari ushahitimu katika haya mainshu...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi imekuwa hovyo kabisa, wachawi kila kona
 
Loneliness, ugonjwa mbaya sana, bahati mbaya sana hata waliopo kwenye ndoa baadhi wana-experience loneliness.

Smartphone inamfanya mtu kujiweka busy, hata na watu ambao hawajui/hawamjui ili tu kujiweka nje ya upweke, lakini in reality loneliness haikwepeki kwa njia hiyo.
 
[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom