Mimi Kuna wawil nimeamua kuwavuruga wakinitafuta wiki mzima siwajibu nawakaushia uku nikiwatafutia siku moja ndan ya kila wiki nawatafuta napiga nao story baby nying nikimaliza Apo hawanion Wala kunisikia mpaka wik inaisha
Toka nimeoa huu ni mwaka wa pili kasoro miezi 4 ila najikuta mwenye hofu na wasi wasi juu ya Mke wangu na Maisha yake ya nyuma kwa sababu naona mfano kwa wanawake wa ujana wangu wote ambao wamesha olewa hakuna hata mmoja nikimuitaji anaweza kunikatalia.
Wanawake wengi nilio kua nao kwenye...
Kuna Mambo Ambayo Watu hua wanayafanya na hayana faida Ila hasara tu.
Mfano Nigeria Wanasema Wanaandamana ili kupinga namna Polisi inavyojiendesha
Tena wanaandamana na kuingia Barabaran bila kuwa na Azimio la nini kifanyike ili waweze kusitisha Maandamano
Mfano nikuulize swali waandamanaj wa...
Nahis danga langu limesoma huu ushaur [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7] Mana Lina bana Sana Ila ulisahau kuwaambia kua wakizingua muda mrefu tunabadil upepo
Viatu vya wale watu wanao sema ukilleta wenzako wawili na wao wakaleta wawili utakua bilionea ndio vinafanya Watu tusiwaamin so vip chadema mnapo tuahid kua mtafanya Mambo makubwa Ambayo hamjawai kufanya katika maisha yenu???
Mh Rais John Joseph Pombe Magufuli natumaini mpaka sasa unashangaa jinsi Wana Kigoma tulivyo kukarim.
Sisi wana Kigoma tuna kero nyingi Sana Kigoma kwani kusema kweli Kigoma ni Mkoa ambao umesahaulika kwa kiasi katika baadhi ya maeneo mfano Kibiriz, Gungu, Katandala, Burega na maeneo mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.