Labda ukaulize wizarani, habari ndiyo hiyo kwamba ujenzi ulishaanza. kuna kitu kimejificha katika huu mradi maana wanafanya kama vile hakukuwa na kitu kinaendelea!!
Hii habari haijakaa vizuri. Mbona reli ilishaanza kujengwa siku nyingi na hao hao wachina?? Tena habari zake zipo kwenye site ya wizara ya ujenzi hii hapa na picha pia Ministry of Transport, Tanzania - Highlights | Katibu Mkuu atembelea eneo inapojengwa Reli ya Standard Gauge
Wakuu za kwenu?
laptop yangu aina ya Dell imekuwa kama desktop kwani inawaka nikiweka adapter kwenye Umeme tuu, Nikiiitoa inazimika papo hapo. Nimejaribu kununua betri Mpya lakini imeendelea kuwa vivyo hivyo. Imepelekea Kuamini kuwa tatizo la laptop hiyo in charging system. Naomba Kama kuna mtu...
Hiyo Fiber optic cable ya Viatel. Ni kampuni ya Vietnam na inamilikiwa na jeshi la vietnam. Wanaweka hizo cable inchi nzima kwa sasa kwa kasi kubwa.Sehemu nyingine wanachimbia chini na zingine wanaweka juu. Msumbiji wamesababisha watoa huduma wengine wakimbie kwani wameshindwa shindana nao.
Nadhani tatizo sio jezi nyeupe kama baadhi ya wadau wanavyohoji. Jezi nyeupe ni away Jersey na nyeupe huwa inavaliwa na taifa lolote (pia nyeupe ni mchanganyiko wa rangi zote-kisayansi). Ikitokea Taifa Stars ikakutana na timu yenye rangi kama zao, basi itadidi wavae hiyo nyeupe. Kama una...
Mpambano huu utakuwa na mapambano ya utangulizi kama matatu au mawili sina hakika. Wanaweza kuanza kuonyesha tangia saa 9,10 au 11 alfajiri ya Bongo. Sasa kutegemea hayo mapambano ya utangulizi yatakavyochukua muda, yaani kama kuna KO ya mapema pambano litaisha mapema au kama round zote pambano...
Watanzania tumezidi sana kudanganywa kuwa mtoto wa Matumla akimshinda mchina feki angepambana katika mapambano ya utangulizi kwenye pambano la Mayweather na Paquiao. Sijaona ubora wa huyo bondia mpaka apate hiyo nafasi kwenye pambano kubwa kama hilo. Nadhani wakati umefika sasa tuache...
Sasa ukiangalia tamasha la michezo ndio utachoka yaani ni mazoezi ya IPP media , bonanza la NSSF na mazoezi ya ngumi za akina Kaseba yaani mradi compilation feki kabisa hakuna mchanganyiko mzuri wala highlightsza kutosha . In short ITV michezo is total disapointment.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.