Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,745
- 5,446
Hadi sasa Tanzania iliwahi kuzalisha kipaji kimoja tu kwenye soka...Sunday Manara ..wakiobaki wote ni wahapahapa
Uliwahi kumsikia Mohammed Salim? Huyu aliunda combination na Peter Tino Y Stars miaka ya 80, baadaye akatimikia Abudhabi UAE. Nadhani alichukua na Urais kabisa maana hakuwahi kurudi tena.
Vv