Azam TV Gold

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,635
Wakuu,

Nimeona hii kwenye Facebook page ya Azam TV, kuna anayejua hii Gold ni nini?
 
Attachments

  • 1450701317835.jpg
    1450701317835.jpg
    58.7 KB · Views: 872
AZam nao ni jipu, badala ya kutuambia watazamaji wao, wao wanataka eti sisi ndio tubashiri.

Ni usanii kama si ukanjanja.

Nimeshangaa wanatuweka roho juu halafu iwe ni ukanjanja sijui itakuwaje
 
nimepiga cm huduma kwa wateja...wamesema n kamchezo tu wala hakana maana yoyote..
 
Wala msiumize kichwa wakuu.. Ni ile channel ya Sinema zetu itaanza kurusha movie premiere live.. Kuanzia tarehe 29 Disemba.. Chanzo Morning trumpet leo asubuhi.
 
Movie gani hizo mkuu za Hollywood au bongo movie?
 
Wala msiumize kichwa wakuu.. Ni ile channel ya Sinema zetu itaanza kurusha movie premiere live.. Kuanzia tarehe 29 Disemba.. Chanzo Morning trumpet leo asubuhi.

funguka kidogo mkuu...tupe maelezo kidogo maana m n mpenz wa muvi
 
Itakuwa kipindi kipya ndio maana wamemuweka Daniel Kijo kwenye tangazo ....kifurushi au channel mpya na Daniel Kijo wapi na wapi?
 
Wangesema tu ili watu tujue December yenyewe inaisha hii
 
INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA

Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.
Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.
Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?
Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?
Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?
Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende??
Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.
Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!
Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!
Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake

Junior
Insta USHAURI_mahusiano
 
Last edited by a moderator:

Kumbe ni channel mpya ya Dr? Mwaka! Dah itahusu tiba zake au ugomvi wake na serikali?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom