Wanaohitaji laptops na desktops flat screen brand new na used

Hawa uhuru wezi kweli walikuwa wana branch hapa Arusha pale karibu na Arusha meru sec. Wakaniuzia external dvd writter wakanambia ni mpya nafika nimeitumia siku tatu imekufa nikarudisha wakanizungusha hadi sasa hivi branch lishafungwa. Kuja kuifungua nagundua ndani kuna label imeandikwa "this device cannot be sold or leased" hawa ni matapeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom