Recent content by myhem

  1. myhem

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa kweli Tanesco wamezidi. Awafyekelee mbali kabisa maana hata ule ubinadamu wa kufikiria watu wanaotegemea kupata mlo wao wa kila siku hawana
  2. myhem

    Hivi mliooa mnawezaje kuishi na mwanamke mmoja maisha yenu yote?

    Inaonyesha bado unakua kijana.muda utafika tu ambapo utaona kuwa inawezekana kuishi na mke mpaka mnaingia kaburini.hata mimi nilikuwa kama wewe lkn sasa naishi kwa raha mustarehe na mama watoto wangu
  3. myhem

    Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    next episode itakuwa february 2016
  4. myhem

    Coco Beach: The project has consumed 260m/- from its concept design phase to completion of a Master

    kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2010 kulikuwa na malalamiko kuwa manji anagawa hela za kampeni kwa wagombea udiwani ili aweze kupanga safu za mameya wa jiji ili afaidike nao.na kweli tuliona hata masaburi akiacha kugombea ubunge na kukimbilia udiwani.hayo ndo moja ya matokeo ya mipango mikakati ya...
  5. myhem

    Management ya pharmacy council imeoza

    hana lolote huyo anawapaka matope tu pharmacy council kisa anacheleweshwa kupata pesa ya kuweka cheti.registration haimzuii mtu kupata kazi kwani cha muhimu zaidi ni cheti cha kumaliza chuo
  6. myhem

    Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    too slow na kwa mwendo huu itaisha baada ya miezi nane.
  7. myhem

    Dr. Kigwangwala alitakiwa awe waziri Kamili

    dr kigwangala sio mtu wa kuentertain nonsense kwenye kwenye kazi.tusubiri miezi 6 tu ifike kisha tumjadili tena hapa.nina uhakika wengi wenu mtabadili mtazamo wenu juu yake
  8. myhem

    Kufuatia kuridhishwa na kasi ya magufuli, finland yatoa euro shilingi bilioni 5 kuisaidia tanzania.

    hizo 4bn ni kidogo sana kusaidia nchi yenye eneo kubwa km yetu.hizo 4bn kina masamaki walikuwa wanatengeneza kwa wiki tu
  9. myhem

    Kigwangalla atakuwa waziri mzigo?

    sina shaka na uwezo wa dr hamis kigwangala kushughulikia matatizo ya sekta ya afya.nadhani mh rais alitakiwa kumpa uwaziri kamili na si unaibu waziri ili awe na meno kamili.vuteni subira na siku si nyingi mtauona moto wake
  10. myhem

    Warioba: Umma utamhukumu Nape Nnauye

    mtu anaibuka tu na kuleta habari za siku nyingi sana inaudhi sana.lengo hapa nadhani ni kupotosha watu
  11. myhem

    Zitto Kabwe: January Makamba ni hazina ya CCM akitumiwa vizuri

    Magufuli akifanya kosa la kumpa Makamba nafasi nyeti basi ajue kuwa ameteua mtu atakayetengeneza mtandao wa kumuingiza madarakani kwa njia yoyote ile. Makamba ana tamaa ya kuwa rais ajaye lazima Magufuli ajue hilo
  12. myhem

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    ndugu unafikiri kama wangekuwa hawatumii pesa ya serikali rais angetaja kuwa ofisi ya CAG inatumia gharama kubwa kwenye safari za nje?
  13. myhem

    UKAWA wakiona huu uthibitisho watatokwa chozi

    hapo ndo utakuwa umemsusia shamba nguruwe.no retreat no surrender
  14. myhem

    TANAPA: Vifo vya Nyumbu Mto Mara ni Jambo la Kawaida

    yaani uwajengee nyumbu daraja ili mamba wafe njaa? sasa utabalance vipi ecosystem? hiyo ndo festive season ya mamba na baada ya hapo ni njaa kali mpaka migration nyingine
  15. myhem

    Pingamizi dhidi ya Mgombea wa Chama cha Mapinduzi, Professor Jumanne Maghembe

    hili jamaa sijawahi ona limeandika kitu kikawa kweli.
Back
Top Bottom