Mchopah
Member
- Jul 6, 2015
- 34
- 4
Maombi yangu kwa waziri wa afya au naibu wake, ebu mulikeni na pale kwenye board ya pharmacy kwani haipo sawa kabisa katika ufanis wa kufanya kazi, kuna wafamasia wapya wamefanya registration muda mrefu umepita lakini mpaka leo hawajapata certificates zao hivyo inawapelekea kuwa jobless huko kitaa.
Nafasi za ajira zinatoka wanashindwa kuapply kwa sababu hawana certificates. Ili nalo ni jipu halina budi kutumbuliwa mapema kabla halijakimbilia kwenye damu
Thanks in advance.
Nafasi za ajira zinatoka wanashindwa kuapply kwa sababu hawana certificates. Ili nalo ni jipu halina budi kutumbuliwa mapema kabla halijakimbilia kwenye damu
Thanks in advance.