Kigwangalla atakuwa waziri mzigo?

Kigwangalla atakuwa waziri mzigo?

Haipendezi, ni upumbavu na ulofa kuandika jambo lisilo na mshiko (ushahidi) hapa jamvini, hasa kumtuhumu binadamu mwenzio kwa mawazo na hisia tu. Kuna sehemu ya udaku upelekwe huko.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

soma umalize. wacha kudandia-dandia, itakutoboa!
 
kweli kabisa tumuache apige kazi majungu sio mtaji, Magufuli kamuona anafaa wewe tuache kuchonga

magufuli keshakuwa 'mungu'!! aonalo sawa, basi ni sawa kwa wote. jiongeze!
 
Heading yake ilimalizia "labda Mungu asaidie" ambacho naona ni kweli, hata Rais wetu, wewe, na wabunge wengine wanapoapishwa wanasema "Ee Mungu nisaidie". Hapo kama Great Thinker umenielewa.

watu wanakurupuka tu, hawataki kufikiri zaidi. na ndiyo maana nchi inapata shida.
 
Mleta post yuko sahihi.kigwangala alikanusha kuwepo madudu hosp.sasa ja ataendelea kuamini hivyo au zilikuwa siasa?je atakubali kuna matatzo hayo?
 
Kigwa ni mkurupukaji na anajidai anafahamu kila kitu. Huu ni mtihani wa kwanza tuone akifanya vitu kivitendo
 
sina shaka na uwezo wa dr hamis kigwangala kushughulikia matatizo ya sekta ya afya.nadhani mh rais alitakiwa kumpa uwaziri kamili na si unaibu waziri ili awe na meno kamili.vuteni subira na siku si nyingi mtauona moto wake
 
Aliniboa siku ile alipotufungia geti Pale wizarani ..
 
Back
Top Bottom