😂😂😂😂 wewe uniblock mimi?
Makubwa hivi Unique Flower nani asiye kujua?
Wasumbue hao hao ambao hawakujui ila sio mimi ila sio mimi😂😂😂
Sio wewe ulie kuwa unalia huko pm kuwa ujibiwe uwezi rudia tena et bado unampenda 😂😂😂😂
Nikwambie kaa kimya tu fanya fyooo 😂😂
😂😂😂😂 kumekucha sasa wewe ukijiangalia vizuri tu ni mtu?
Nakuonea huruma 😂😂😂😂 nikishuka na file lako hapa utashangaa 😂😂
Vipiii yule bwana ulienda pm na kujichatisha siku nzima na ukujibiwa pm 😂😂😂😂
Wewe dada nyamaza 😂😂😂
Kipenzi ujisikii vibaya kumuita mwanaume mwezio kipenzi 😂😂😂 eti wanakuita binti maua haya umedanga kule kwenye tunda kimasihala umekosa mwanaume?
Tunajua ID ya Fifi Moto ni yako sana ukaenda kule kujimwaga ukaona watu wakavuuuuu ukarudi hapa selfika. 😂😂😂
Ulianza kumshobokea mwachiluwi...
Hello,
Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi.
Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na pia ni mrefu kiasi ninafanya baishara nauza viatu na nguo za ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.